BBC: Kanisani laomba msamaha kwa ubaguzi enzi za ukoloni dhidi ya weusi

Dramatically.
Mwafrika akimbwa radhi na Mzungu it's a "life time" achievement, kumbe wameona fursa wanataka kupenya upya "Kustaarabu" kufyonza Tena6.
 
Hizo propaganda za wakiristo wa jf watz. Ukiambiwa uwataje 3 walioliwa na wapi utashindwa
Umeuliza swali zuri.Wakati hao waarabu,kwa wazungu,wanahesabika ni blacks,unaowaona waarabu wa sasa ni mchanganyiko wa watumwa wazungu wanawake wa mashariki ya ulaya,kuolewa na waarabu(weusi wa asili).
 
Gundu la wakoloni limemganda mwarabu peke yake.Hawa walobaki tunawaona watukufu
 
Inabidi na waarabu waombe msamaha waliua watu wengi sana

Angalau walitunzwa kwenye vituo vya kulelewa binadamu na wapo mpaka leo. Uarabuni hakuna mabaki ya watumwa yanayoonekana huko japo muarabu ndiye mtesaji no 1 wa watumwa na kuwauza babu/bibi zetu kama ng'ombe mnadani. Waarabu walihahasi wanaume na kuwafanya wanawake watumwa wa ngono na kuuwa watoto waliozaliwa kwa makosa au kuuwa wanawake waliobeba mimba kwa bahati mbaya.
 
Propaganda za kanisani hizi hazina uhalisia. Taja msikiti mmoja tu uliotumika kuwatesa watumwa? Makanisa yapo mengi sana na Vatican hivi sasa inaomba radhi
 
Nakuunga mkono katika hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…