BBC kujenga kituo kikubwa cha habari Kenya

BBC kujenga kituo kikubwa cha habari Kenya

**** tu ww boya, mpumbavu bongolala mamaako. Madawati wanakalia watoto wanafunzi waki Tz wakisoma. Infact shule zote zimekuwa provided na madawati na serikali ya Magufuli since last year.
Pumbav!
hongera wanafunzi waki Tz. mutaacha kukaa chini ya miembe na mibuyu kusoma.
huku wanafunzi wa Kenya wanapewa vipakatalishi bure mbona
 
Ujenzi huu unakisiwa kugharimu 1B Kshs na kuajiri wafanyi kazi 250. Kituo kitatumika katika kupeperusha matangazo kwa lugha kadhaa za Kiafrika.

1560241.jpg

President Uhuru Kenyatta during a meeting with UK investors at the sidelines of the London Somalia Conference on May 12, 2017. /PSCU

The British Broadcasting Corporation (BBC) is investing nearly $10 million (Sh1 billion) on modern multimedia production studios in Kenya.

This will lead to the creation of 250 new jobs, a senior editor told President Uhuru Kenyatta on Friday.

Solomon Mugera said in briefing notes to the President that of the jobs, 200 will be reserved for Kenyans.

"The investment will provide an internship and mentoring program for upcoming journalists, digital and technical producers," he said.

"From Nairobi, the BBC will work with local broadcasters and independent production companies to create local and regional content including business and health."

He said the international broadcaster is also introducing six new language services: three of them Amharic, Afaan Oromo and Tigrinya.

These will be produced in Nairobi for audiences in Ethiopia and Eritrea.
"The BBC already produces Kiswahili and Somali programs from its bureau in Nairobi. The other three new languages Yoruba, Igbo and Pidgin will be based in Lagos, Nigeria," the note states.

Uhuru commended the BBC for the new investment in Kenya saying that the country was known for its thriving democracy.

He said this has guaranteed a free and robust media, skilled talent in the media and the arts, and unmatched ICT infrastructure on the continent.

"We have made massive infrastructure improvements that make us the investment destination of choice for many," Uhuru said.

"We are elated that the BBC is making these giant steps that will lead to employment of some of Kenya’s talent," the President said.

BBC unveils plan for Sh1billion multimedia production studios in Nairobi
mbona AZAM TV.wamwekeza pesa zaidi ya hiyo hapa bongo
 
Hii kitu wakina Charles Hillary walipigania sana ila kwa jinsi utawala huu unaminya uhuru wa habari, sishangai uamuzi huu. Hata RFI swahili wanakuja hama. Inasikitisha na kutia aibu BBC swahili iliyoanzishwa na Watanzania 1960s inaenda kuweka makau makau Nairobi na si Dar
BBC haikuanzishwa na Watanzania na sio miaka ya sitini. Kiswahili kilisikika miaka ya mwishoni ya hamsini kabla ya Uhuru, ikiwa bado inaitwa Tanganyika.
Mmoja wa watangazaji wa kwanza ni marehemu Oscar Kambona (kutangaza kwa kiswahili). Pia ni miaka mingi sasa Nairobi ndio kwenye ofisi kubwa ya BBC hapa Afrika mashariki.
 
Hata hukp Kampal, Bujumbura their buraeu officaes are located in this cities. Lakini, the offices here in Nairobi is noy just for Kiswahili service, the Nairobi bureau caters for the whole of the east and central African operations.

Amka na BBC inarushwa kutoka ofisi zao zilizopo dar, pia mtandao wa bbcswahili.com unaendeshwa kutoka dar

WADAU WAISIFU BBC SWAHILI KWA KUHAMISHIA MATANGAZO YAKE JIJINI DAR ES SALAAM..Ona uzinduzi ulivyofana... « NiceMediaWorks
 
**** tu ww boya, mpumbavu bongolala mamaako. Madawati wanakalia watoto wanafunzi waki Tz wakisoma. Infact shule zote zimekuwa provided na madawati na serikali ya Magufuli since last year.
Pumbav!
good for you...idiot
 
lol madawati! wapumbavu hawa wadangayika bongolala

Pumbavu nyanyako na kizazi chake chote.

Are laptops more important than desks in Kenya's schools?
By Emmanuel IgunzaBBC Africa, Nairobi

3 March 2016

_88544034_20160302111911.jpg


In theory, six-year-old Kenyan pupil Kizito Wafula could soon be using a government-funded laptop, but his school in the west of the country has no desks or chairs - and, crucially, no electricity to power it.

As Kenya's government tries to fulfil its 2013 election pledge to give first year primary school students access to laptops, Kizito will not be able to benefit from the ambitious $600m (£425m) Digischool scheme.

Instead he will continue to use scraps of paper to write down his notes, keeping them bundled in a small black plastic bag.

"He doesn't have proper books so he borrows paper plucked from other pupils books," says Florence Misiko, the head teacher at St Jude Nabuyeywe in Bungoma, a poor farming area.

Kizito and his six siblings live with their grandmother, who cannot afford to buy exercise books.

At school, he sits on the dusty floor with his 90 classmates, using torn cardboard boxes and worn out sacks as mats.

"It is really hard for these pupils to learn like this," says Mrs Misiko.

"But we are doing everything we can even with little resources. We have actually just received several bags of cement from the county government to finish off the floors of the classes.

"But we need much much more, as you can see," she says, pointing at the gaping holes where windows and doors should be.

"Even if we get laptops, how would we have used them under these conditions? Our priority now is getting students desks and enough books."

'Not a miracle pill'
But those government primary schools that do have electricity - and an internet connection - will be getting laptops for first year students - along with computer labs.



 
hongera wanafunzi waki Tz. mutaacha kukaa chini ya miembe na mibuyu kusoma.
huku wanafunzi wa Kenya wanapewa vipakatalishi bure mbona

In aid of a school where pupils know no classroom nor desks


By Standard Reporter | Updated Mon, January 18th 2016 at 20:03 GMT +3

nshopxevy2sd5zexeb5j569d1b7ce0a1c.jpg

Pupils at Nachurur Primary School in Tiaty follow a lesson under a tree. Their lessons are often disrupted by birds singing on top of the trees and cattle grazing nearby. (Photo: Kipsang Joseph/Standard)

Kenya: There are no classrooms. There are no desks. But there are many children at Nachurur Primary School in Tiaty, Baringo County, dying to get an education — the only thing that can help them wriggle out of the grinding poverty they were born into.

The story of Nachurur Primary received overwhelming reaction from readers after it featured the dire situation the pupils have to go through just to get an education.

In aid of a school where pupils know no classroom nor desks
 
ngoja wajenge ili wakenya wapate fursa, maana huku tz bashite asingechelewa kuvamia studio na kuharibu camera bila kujali gharama yake
 
ngoja wajenge ili wakenya wapate fursa, maana huku tz bashite asingechelewa kuvamia studio na kuharibu camera bila kujali gharama yake
What a shit!

Think before U type dude
 
Hata hukp Kampal, Bujumbura their buraeu officaes are located in this cities. Lakini, the offices here in Nairobi is noy just for Kiswahili service, the Nairobi bureau caters for the whole of the east and central African operations.

Sidhani kama hizo office za Kampala na Bujumbura zinatumika kurusha matangazo!

Nadhani hizo ni office tu za kuandaa habari na kuzituma panapostahili!

Hizi za dar zinarusha matangazo!

Japo najua hizo za nai zitakuwa kubwa zaidi! Hii fursa ilikuwa ije kwetu tulijichanganya tu kidogo & you grabbed it!
 
Afrika inahitaji Sera Mpya kuhusu vyombo vya habari vinavyojitia 'Vya Kimataifa'. Hatua kama hizi ni za kutudidimiza tu ingawa walami hufanya yaonekane kama ni maendeleo...
Sijafurahi kivile, swali la kinafiki la Waterloo hapo juu linajaribu kuadress hili tatizo kubwa sana.
 
@
bukoba boy, BBC Kiswahili radio na tv zinapeperusha mtangazo yao from Nairobi.

Muambie atii itakuwa suprise kwao juu wanadhania BBC swahili ni ya tanzania
Hamjanielewa,jamaa alisema sababu kaona BBC Turkiye saaa anafurahi kuona BBC Kenya,ndio nikamuuliza ikiwa BBC Kenya itatangaza pia kwa Ndebele au Shona sababu nasikia ni kituo kwa ajili ya lugha mbali mbali za Afrika.
 
Afrika inahitaji Sera Mpya kuhusu vyombo vya habari vinavyojitia 'Vya Kimataifa'. Hatua kama hizi ni za kutudidimiza tu ingawa walami hufanya yaonekane kama ni maendeleo...
Sijafurahi kivile, swali la kinafiki la Waterloo hapo juu linajaribu kuadress hili tatizo kubwa sana.
Afadhali umeelewa hoja yangu ya msingi mkuu.
 
Back
Top Bottom