hongera wanafunzi waki Tz. mutaacha kukaa chini ya miembe na mibuyu kusoma.**** tu ww boya, mpumbavu bongolala mamaako. Madawati wanakalia watoto wanafunzi waki Tz wakisoma. Infact shule zote zimekuwa provided na madawati na serikali ya Magufuli since last year.
Pumbav!
Amka na BBC inarushwa kutoka ofisi zao zilizopo dar, pia mtandao wa bbcswahili.com unaendeshwa kutoka dar@
bukoba boy, BBC Kiswahili radio na tv zinapeperusha mtangazo yao from Nairobi.
mbona AZAM TV.wamwekeza pesa zaidi ya hiyo hapa bongoUjenzi huu unakisiwa kugharimu 1B Kshs na kuajiri wafanyi kazi 250. Kituo kitatumika katika kupeperusha matangazo kwa lugha kadhaa za Kiafrika.
President Uhuru Kenyatta during a meeting with UK investors at the sidelines of the London Somalia Conference on May 12, 2017. /PSCU
The British Broadcasting Corporation (BBC) is investing nearly $10 million (Sh1 billion) on modern multimedia production studios in Kenya.
This will lead to the creation of 250 new jobs, a senior editor told President Uhuru Kenyatta on Friday.
Solomon Mugera said in briefing notes to the President that of the jobs, 200 will be reserved for Kenyans.
"The investment will provide an internship and mentoring program for upcoming journalists, digital and technical producers," he said.
"From Nairobi, the BBC will work with local broadcasters and independent production companies to create local and regional content including business and health."
He said the international broadcaster is also introducing six new language services: three of them Amharic, Afaan Oromo and Tigrinya.
These will be produced in Nairobi for audiences in Ethiopia and Eritrea.
"The BBC already produces Kiswahili and Somali programs from its bureau in Nairobi. The other three new languages Yoruba, Igbo and Pidgin will be based in Lagos, Nigeria," the note states.
Uhuru commended the BBC for the new investment in Kenya saying that the country was known for its thriving democracy.
He said this has guaranteed a free and robust media, skilled talent in the media and the arts, and unmatched ICT infrastructure on the continent.
"We have made massive infrastructure improvements that make us the investment destination of choice for many," Uhuru said.
"We are elated that the BBC is making these giant steps that will lead to employment of some of Kenya’s talent," the President said.
BBC unveils plan for Sh1billion multimedia production studios in Nairobi
BBC haikuanzishwa na Watanzania na sio miaka ya sitini. Kiswahili kilisikika miaka ya mwishoni ya hamsini kabla ya Uhuru, ikiwa bado inaitwa Tanganyika.Hii kitu wakina Charles Hillary walipigania sana ila kwa jinsi utawala huu unaminya uhuru wa habari, sishangai uamuzi huu. Hata RFI swahili wanakuja hama. Inasikitisha na kutia aibu BBC swahili iliyoanzishwa na Watanzania 1960s inaenda kuweka makau makau Nairobi na si Dar
Azam juice wamewekeza pesa ngapi? Alafu kumbuka hii ni Ksh. sio Tshmbona AZAM TV.wamwekeza pesa zaidi ya hiyo hapa bongo
Amka na BBC inarushwa kutoka ofisi zao zilizopo dar, pia mtandao wa bbcswahili.com unaendeshwa kutoka dar
WADAU WAISIFU BBC SWAHILI KWA KUHAMISHIA MATANGAZO YAKE JIJINI DAR ES SALAAM..Ona uzinduzi ulivyofana... « NiceMediaWorks
Afu mkiwa wa "Mawingu "..??Waje na tz
Fake news website, ndio maana inakataaa kujingua, wewe unashinda ukiiweka hapa. Ama simu ya.gu pia imelewa?Mnafaamika kwa kurusharusha habari za ujinga kwa media zenu ndo maana wamekuja.🙄😀
Govt rubbishes misleading Kenyan media report
good for you...idiot**** tu ww boya, mpumbavu bongolala mamaako. Madawati wanakalia watoto wanafunzi waki Tz wakisoma. Infact shule zote zimekuwa provided na madawati na serikali ya Magufuli since last year.
Pumbav!
lol madawati! wapumbavu hawa wadangayika bongolala
@
bukoba boy, BBC Kiswahili radio na tv zinapeperusha mtangazo yao from Nairobi.
hongera wanafunzi waki Tz. mutaacha kukaa chini ya miembe na mibuyu kusoma.
huku wanafunzi wa Kenya wanapewa vipakatalishi bure mbona
What a shit!ngoja wajenge ili wakenya wapate fursa, maana huku tz bashite asingechelewa kuvamia studio na kuharibu camera bila kujali gharama yake
Good for you too bloody fool, fara wewe unajionaga mjanja na dharau zako chafu.good for you...idiot
Hata hukp Kampal, Bujumbura their buraeu officaes are located in this cities. Lakini, the offices here in Nairobi is noy just for Kiswahili service, the Nairobi bureau caters for the whole of the east and central African operations.
@
bukoba boy, BBC Kiswahili radio na tv zinapeperusha mtangazo yao from Nairobi.
Hamjanielewa,jamaa alisema sababu kaona BBC Turkiye saaa anafurahi kuona BBC Kenya,ndio nikamuuliza ikiwa BBC Kenya itatangaza pia kwa Ndebele au Shona sababu nasikia ni kituo kwa ajili ya lugha mbali mbali za Afrika.Muambie atii itakuwa suprise kwao juu wanadhania BBC swahili ni ya tanzania
Afadhali umeelewa hoja yangu ya msingi mkuu.Afrika inahitaji Sera Mpya kuhusu vyombo vya habari vinavyojitia 'Vya Kimataifa'. Hatua kama hizi ni za kutudidimiza tu ingawa walami hufanya yaonekane kama ni maendeleo...
Sijafurahi kivile, swali la kinafiki la Waterloo hapo juu linajaribu kuadress hili tatizo kubwa sana.
Wanapeperusha matangazo ya Kiswahili wakiwa Nairobi, nafikiri huwa unaipata freshi.