BBC News: Adele named as UK's richest female musician ever as fortune hits £85m

BBC News: Adele named as UK's richest female musician ever as fortune hits £85m

Wow i love hello song, ameimba vizuri sana, tafuta remix zake watu kibao wameifanyia remix hadi bongo hapa beka nk ila remix ya
wiz Khalifa-hello ni shidahhh
Okay nitaitafuta ya wiz
 
Fear Of Death Made Adele Quit Smoking - Health Aim

1461251867779.jpg
 
Oh come on.
Kuvuta Sigara ina madhara lakini sio kwa kiwango kama icho cha watu wengi wanavyofikilia. Kama Adelle anavuta 10 mpaka 15 Sigara kwa siku kitu ambacho ni standard kwa mwili wa binadamu. Sema kwa hali ya hewa ya sehemu inategemea kama upo kwa sehemu ya baridi madhara sio mengi au ktk air conditioning environment
Mkuu uvutaji wa sigara hauna kiwango fulani, iwe kawaida ama aliokuwa addicted wote wanapata athari, unaambiwa ukipiga pafu moja tu ule moshi unakaa mwaka mzima mwilini yani kwa pafu moja.

bc2dc8bf5f00cb6e8982fca7ca4a2675.jpg
 
Wasanii Wa Tanzania awawezi kujitokea kusema kipato Chao kwa sababu ya mikataba ya kimangungu hata huyo diamond awezi kuweka wazi kwa sababu pia kodi hawalipi inavyostahili kama wenzetu kuna wasanii hawajui ata shoo wanalipwa kiasi gani wao ndio tu wakija kifulia ndio kulalamika
Mikataba ipi mkuu, unawanyima wasijinadi na mali zao walizozitolea jasho,labda uniambie ukwepaji wa kodi meku
 
Aisee Adele ni habari nyingine, nasikiliza Rolling in the deep kila baada ya nusu saa.
 
Mikataba ipi mkuu, unawanyima wasijinadi na mali zao walizozitolea jasho,labda uniambie ukwepaji wa kodi meku
Wasanii ni wakwepaji Wa kodi pili ni mikataba ya kilagai kama Msanii anapanda stejini ajui amelipwa kiasi gani meneja wake ndio anajua akiuliza ugomvi
 
am proud to say kwamba nimeanza kumfuatilia huyu anti since day one 2008.Kipindi anatoa album yake ya kwanza kabisa 19.miaka hyo hata marekani hajapata umaarufu bado,bongo ndo kabisaaa hata hawajui kama kuna kiumbe anaitwa adele.then 2011 akaja na 25 ndo kufungasha yale matuzo ya grammy yakutosha.huku kwetu naona watu wameanza kumshabikia baada ya kutoka na nyimbo ya hello
 
Mimi napenda sana ule wimbo wake wa Rolling in the Deep,to me is just like tossing somebody salad...😉
 
Mimi napenda sana ule wimbo wake wa Rolling in the Deep,to me is just like tossing somebody salad...😉
Hahahahah u need to find the remix of it,adele she is incredible UK singer
 
Namkubali sana huyu dada.Na kitendo cha kumuweka yule kijana mweusi kama mpenzi wake kwenye video yake ya Hello..kumezidi kunisuuza moyo
 
dah ana mpunga aisee, hv dangote wetu atakua na sh ngap jaman? mana adele akitoa nyimbo anatulia hata miaka miwili lakn kina chibu wanatoa kila baada ya week tatu.
 
Back
Top Bottom