Okay nitaitafuta ya wizWow i love hello song, ameimba vizuri sana, tafuta remix zake watu kibao wameifanyia remix hadi bongo hapa beka nk ila remix ya
wiz Khalifa-hello ni shidahhh
Mkuu uvutaji wa sigara hauna kiwango fulani, iwe kawaida ama aliokuwa addicted wote wanapata athari, unaambiwa ukipiga pafu moja tu ule moshi unakaa mwaka mzima mwilini yani kwa pafu moja.Oh come on.
Kuvuta Sigara ina madhara lakini sio kwa kiwango kama icho cha watu wengi wanavyofikilia. Kama Adelle anavuta 10 mpaka 15 Sigara kwa siku kitu ambacho ni standard kwa mwili wa binadamu. Sema kwa hali ya hewa ya sehemu inategemea kama upo kwa sehemu ya baridi madhara sio mengi au ktk air conditioning environment
Mikataba ipi mkuu, unawanyima wasijinadi na mali zao walizozitolea jasho,labda uniambie ukwepaji wa kodi mekuWasanii Wa Tanzania awawezi kujitokea kusema kipato Chao kwa sababu ya mikataba ya kimangungu hata huyo diamond awezi kuweka wazi kwa sababu pia kodi hawalipi inavyostahili kama wenzetu kuna wasanii hawajui ata shoo wanalipwa kiasi gani wao ndio tu wakija kifulia ndio kulalamika
Wasanii ni wakwepaji Wa kodi pili ni mikataba ya kilagai kama Msanii anapanda stejini ajui amelipwa kiasi gani meneja wake ndio anajua akiuliza ugomviMikataba ipi mkuu, unawanyima wasijinadi na mali zao walizozitolea jasho,labda uniambie ukwepaji wa kodi meku
ni kama jide tu, adele hana swagg wala sura nzuri ila sauti inalipa, anajua kukonga nyoyo za mashabik, kama lady jaydee tunachompendea huyu bishosti hana hata mbwembe za kujianika maungo na kufanya shoo za kukata mauno.ye anaimba tu mziki mzuri.anavaa kistaarabu sana
Mkuu naona unafaidi kuwa na watoto wanao kuburudisha all the time , ua blessed, watoto ni zawadi..