Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Nishawaambia Adui wa kwanza Duniani ni SUKARI SUKARI SUKARI SUKARI.
1. Anayekufanya Uwe SHAPELESS na USIFURAHIE hata Mavazi yako NI SUKARI. Nakushangaa kwa nini Unaikumbatia SUKARI.
2. Anayekufanya Unasikia maumivu makali ya Hedhi na Kuharibika Usoni wakati wa hedhi ni SUKARI. Anayekufanya Uwe na Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa, hamu ya tendo la ndoa ndogo au hakuna kabisa ni SUKARI.
3. Anayekufanya Unakosa Mtoto unaota ndevu kidevu chote wakati wewe ni mwanamke ni SUKARI. Anayekufanya Unaota matiti unakuwa na hips kama mwanamke wakati wewe ni mwanaume ni SUKARI. Sukari inakufanya maumbile sehemu za siri Yanapungua kila kukicha kadri unavyozidi
KUNENEPESHWA NA SUKARI.
SUKARI IMEFANYA VIJANA WENGI HAWANA NGUVU ZA KIUME KWA KUNYWA HOVYO VINYWAJI VYA SUKARI ETI WANAPOZA KOO NA KUONGEZA NGUVU.
4. Sukari ndiyo Inafanya FAMILIA NZIMA MNANENEPA, Kuanzia BABA, Mama na WATOTO wote Mnakuwa NI KITAMBI. Sukari Sukari.
Tunaposema Sukari Mtambue kwamba Inakuja katika SURA TOFAUTI TOFAUTI wengi tunapumbazika kwamba ni ILE TU INAYOKUJA NYEUPE KAVU.
1. Kwenye Soda Kasome kuna Gram ngapi za sukari halafu jibu utakalopata gawanya kwa 5gram ili upate vijiko. Mfano: Ukikuta kuna gram 37 kwenye kinywaji chako Gawanya kwa 5 utapata vijiko 7 unalamba kila unywapo kinywaji hicho. Fanya Uchunguzi Ujue unalamba vijiko vingapi kwa siku.
Watu wanakunywa soda Zaidi ya 5 kwa siku.
2. Mbali na hivyo Kuna Vinywaji vingine kama MILK SHAKES, MAZIWA YA UNGA, MAZIWA YA MILK FORMULA YA WATOTO, COCKTAILS,huko Pia UTAIKUTA SUKARI.
3. Sukari Pia utaikuta kwenye JUISI TUNAZOTENGENEZA NYUMBANI ¡°SHAKES ZA MATUNDA¡± Mfano: Unachukua Maembe mengi, Machungwa unatengeneza Juisi nzito. Utakutana na neno ¡°NO ADDED SUGAR¡± Usipumbazwe na hilo. Unapokunywa JUISI HIO NI ¡°SUGAR SYRUP¡± Kuna watu wanatupotosha sana.
Unapoambiwa ¡°Embe lina faida kwa afya¡± Haimaanishi Utengeneze Juisi¡± Unapoambiwa ¡°Nyanya, Papai lina lycopene ambayo huua kansa seli haimaanishi utengeneze juisi ya nyanya na Papai upone kansa¡± Unapoambiwa ¡°Beet root na karoti zina faida kiafya haimaanishi utengeneze JUISI¡± Unapoambiwa STAFELI lina ACTIVE INGREDIENTS inayotibu kansa Haimaanishi UNYWE JUISI YA STAFELI UTAPONA KANSA.
Hata hivyo Vitamin ambazo hupatikana kwenye Matunda huitwa WATER SOLUBLE VITAMINS, Ambazo ni B vitamins na Vitamin C. Kisayansi Vitamin hizi huwa Zinapozidi mwilini HUWA HAZIWEZI KUHIFADHIWA MWILINI, ZINATOKA PAMOJA NA MAJI YANAYOTOKA MWILINI. Kwa maana hio KUNYWA GLASI TANO ZA EMBE NA MACHUNGWA UTAKUWA UNAJIUMIZA KIAFYA, UNAMIMINA SUKARI NYINGI KWA MKAO MMOJA KWA LENGO AMBALO HALIENDI KUTIMIA.
Mwili wa binadamu huwa unahifadhi vitamins zinazotembea na MAFUTA ambazo ni Vitamin A,D,E na K hizi huhifadhiwa Mwilini pale unapokula nyingi. Ambapo sasa anayekunywa JUISI ILI APATE VITAMINS NYINGI ANAKULA ANAJIPUMBAZA BURE hakuna CHOCHOTE ANACHOPATA TOFAUTI NA KUUMIZA INI LAKE.
Kwa maana Hio SIKUSHAURI UTENGENEZE JUISI MATUNDA YAKO KWA WATOTO WAKO NA FAMILIA YAKO. Waliotuambia Tunatibu kwa mboga mboga za matunda walitupotosha sana TUMEHAMA KUTOKA KWENYE SODA TUMEAHAMIA KWENYE VIMIMINIKA VYA SUKARI TUNAVYO TENGENEZA SISI WENYEWE.
Athari za Sukari Mwilini.
ZINAKUHATARISHA KUPATA MAGONJWA YA UCHAKAVU WA MWILI MAPEMA SANA KATIKA UMRI WAKO.