BBC: Putin hakutarajia haya yatafanyika alipoivamia Ukraine

BBC: Putin hakutarajia haya yatafanyika alipoivamia Ukraine

Putin ni mtu smart sana! Huwezi kujua mikakati yake.
 
Hapo hakuna hata moj aambalo anashindwa kukabiliana nalo. Halafu putin alishajiandaa kupigana na NATO ndio mana propaganda za waNATO kama hizi hazipungui kwenye vyombo vyao vya habari.
Uko zako mkulanga huna unalojua maskini[emoji23]
 
wanamchosha tu mdogo mdogo wanajua watamnasia wapi, ogopa sana intelligensia ya watu wa magharibi + US. Hapo Putin ajiandae kisaikologia, vita inakwenda miaka 3 na zaidi huku Ukraine akipata support zote.
Ni kweli mkuu, unafkiri US alishindwa kumpa silaha za mapambano mazito Ukraine before vita kuanza? Alishindwa kumsaidia Ukraine asichukuliwe hayo majimbo? Nia ilikuwa ni kumuacha Russia aingie, wamchoshe tu mdogo mdogo.
 
Ni kweli mkuu, unafkiri US alishindwa kumpa silaha za mapambano mazito Ukraine before vita kuanza? Alishindwa kumsaidia Ukraine asichukuliwe hayo majimbo? Nia ilikuwa ni kumuacha Russia aingie, wamchoshe tu mdogo mdogo.

Kwa sababu pia Russia 🇷🇺 hakujua kwamba Ukraine hatapata msaada,sio? Pia Russia 🇷🇺 hakujua atachoshwa na vikwazo,sio? Hivi unajua ulaya ndio walikuwa vipofu,kwa sababu,hawakujua serikali zao zitaanguka,hawakujua Urusi itashinda vikwazo vyao na kuwarudia wao,marekani hakujua dollar yake inaenda kuanguka. Unajua Urusi inaingiza kiasi gani cha pesa kwa siku kwa kuuza gesi na mafuta? Alafu unasema kwamba itachoka. Myopic rats at its best.🚮
 
Sio ujinga, ni uzezeta. Vyombo vya habar vyote huko russia vimepigwa pini, la sivyo tungesikia mengi.
Awoo west wanaojifsnya wafata haki na wanaheshimu maoni ya watu mbona walipiga chini vyombo ya Rusia taira kweli
 
Kwa sababu pia Russia [emoji635] hakujua kwamba Ukraine hatapata msaada,sio? Pia Russia [emoji635] hakujua atachoshwa na vikwazo,sio? Hivi unajua ulaya ndio walikuwa vipofu,kwa sababu,hawakujua serikali zao zitaanguka,hawakujua Urusi itashinda vikwazo vyao na kuwarudia wao,marekani hakujua dollar yake inaenda kuanguka. Unajua Urusi inaingiza kiasi gani cha pesa kwa siku kwa kuuza gesi na mafuta? Alafu unasema kwamba itachoka. Myopic rats at its best.[emoji706]
Tofautisha kati ya regime change, na fall of state.

Safari hii rusia amejaa
 
Back
Top Bottom