Carbondioxide
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 733
- 195
Anashikilia namba kwizera FM!Alikiba je, hayumo kweli?
Tangu lini mtu ukaona kile anachoimba mtu?Mi huwa siaminigi mbona anachoimba sikioni
Kama wewe huoni wengine wanaona.Mi huwa siaminigi mbona anachoimba sikioni
Sasa utakionaje wakati wimbo/mziki unasikilizwa wewe wataka uone anachoimba...Mi huwa siaminigi mbona anachoimba sikioni
Wanachoimba wengine unakiona??Mi huwa siaminigi mbona anachoimba sikioni
Kabisa!Hii namba ya wasikilizaji imenunuliwa
Yupo bro,kashika nafasi ya 3357...ila usimpigie simu kumuuliza maana saivi ana perform fiesta iringa ndani ndani hukoAlikiba je, hayumo kweli?
Nafasi ya 3357...[emoji23] [emoji23] [emoji23]Alikiba anashika namba ngap?
labda hio ni london ya kariakoo, huyo diamond mwenyewe hakuna hata watu wanaomfahamu zaidi ya wabongo wa east london.