Carbondioxide
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 733
- 195
Diamond Platnumz ni msanii wa 19 Duniani Kati ya wasanii wanaosikilizwa zaidi kwenye kituo cha BBC RADIO LONDON,Uku WizKid toka Nigeria ikishika ya 12.
Uku nafasi ya kwanza ipo na Ed Sheeran na nafasi zingine kama ya tano yupo Justin Bieber,Taarifa zingine zaidi jionee hapo juu kwenye photo.
Ahsante BBC RADIO LONDON kwa taharifa.