Nina swali la kijinga kidogo hivi BBC IDHAA YA KISWAHILI ukiwa upo Uingereza inapatikana kama idhaa nyingine za BBC kule najua unaweza ukapata kwenye internet lakini mimi nauliza kwa mfano kama upo kule na una Redio yako unaweza ukaipata au ipo kwaajili ya watu wa Afrika tu