BBC RADIO LONDON:Diamond ashika namba 19 duniani kati ya wasanii wanaosikilizwa BBC RADIO.

BBC RADIO LONDON:Diamond ashika namba 19 duniani kati ya wasanii wanaosikilizwa BBC RADIO.

IMG_9791.jpg
Mimi kila siku nasikiliza taarifa za habari za idhaa ya Kiswahili ya BBC. Mbona sijawahi kumsikia akipigwa?😛
 
Nina swali la kijinga kidogo hivi BBC IDHAA YA KISWAHILI ukiwa upo Uingereza inapatikana kama idhaa nyingine za BBC kule najua unaweza ukapata kwenye internet lakini mimi nauliza kwa mfano kama upo kule na una Redio yako unaweza ukaipata au ipo kwaajili ya watu wa Afrika tu
 
Back
Top Bottom