BBC: Rais Magufuli aagiza wafungwa wafanyishwe kazi usiku na mchana na wazembe wapigwe mateke

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli amesema kuwa wafungwa wanapaswa kufanyishwa kazi usiku na mchana na kwamba wafungwa wazembe wanafaa 'kupigwa mateke'.

Magufuli alikuwa akizungumza katika uzinduzi wa afisa mkuu mpya wa Magereza nchini humo .

Amesema kuwa ilikuwa aibu kwa Tanzania kuendelea kuwaachilia huru wafungwa na kwamba watu hao wanapaswa kulima chakula chao katika shamba.

Anasema kuwa kutofanyishwa kazi kwa wafungwa kumesababisha kuwepo kwa wapenzi wa jinsia moja na matumizi ya mihadarati katika jela.
Ametoa wito wa kusitishwa kwa wanawake au wanaume kutembelea wake zao au waume zao jela.

Makundi ya wanaharakti yamemshutumu kiongozi huyo kwa kushindwa kuwavumilia wapinzani wake wa kisiasa , makundi ya wapenzi wa jinsia moja na makundi mengine.

Magufuli: Wafungwa wafanyishwe kazi usiku na mchana
 
Meanwhile kenya has employed Chinese prisoners at the expense of qualified Kenyans.

The chinese prisoners live in luxury apartments in high end estate of Nairobi, while Kenyans live in Kibera 🙂 🙂

Dumbest ever...dumbest in the universe
 
Indeed walahi
 
Amkeni waafrika!
Achaneni na wadhungu walahi
 
All over the world there are usually prison industry or farms that ensure prisons become self-sufficient, and secondly that prisoners get skills so that they become useful to society once released.

In TV program prison break for example, it was clear Michael Schofield and his friends fought to work for prison industry. It was the best way to see sunlight, plot escape and make a few coins while in prison.
 
Mi nashauri.
wapewe sumu wote wafe.
Maana kama Adhabu za vifungo walizopewa hazitoshi.
Ni wazi adhabu ya kifo ndo inafaa.
 
All over the world there are usually prison industry or farms that ensure prisons become self-sufficient, and secondly that prisoners get skills so that they become useful to society once released.

In TV program prison break for example, it was clear Michael Schofield and his friends fought to work for prison industry. It was the best way to see sunlight, plot escape and make a few coins while in prison.

Hehehe! Mbona unateseka na kutumia nguvu nyingi hivi.....
 
Poleni watani wetu nyinyi wenyewe ndio mliochagua kuimba hapa kazi tu na fisiemu mbele kwa mbele.
 
Dah ninavyopenda Papuchi hivi si nitabaka Askari Magereza nikinyimwa kuonana na mke wangu!
 
Saivi jambo la hatari sio uchumi tena bali ni kuhukumiwa jela miezi 6.
 
Poleni watani wetu nyinyi wenyewe ndio mlichagua kuimba hapa kazi tu na fisiemu mbele kwa mbele.
Umeombwa pole, na bado 2020 atapita kwa kishindo zaidi ya 2015. Ndio utajua kuwa tunataka hongera, sio pole.
 
Back
Top Bottom