BBC: Rais Magufuli aagiza wafungwa wafanyishwe kazi usiku na mchana na wazembe wapigwe mateke

Umeombwa pole, na bado 2020 atapita kwa kishindo zaidi ya 2015. Ndio utajua kuwa tunataka hongera, sio pole.
Nilikuwa nawaza kutuma rambi rambi zangu mapema, kwa familia za wazembe watakaopigwa mateke ila umenishawishi mkuu. Hongera zenu au nimekosea Nalendwa?
 
Ndio ni sawa kufanya hivyo.
Ili wafungwa waache mihadarati na kusukumana tope.
Ni bora wafanyishwe kaz tu.
Tena ningeshauri mirad mingine km ujenzi uchimbaji mitaro wangefanya wafungwa.
 
Tapeli leo kabadilika
 
Mimba za mwendazake ni nyingi. Nyingine hii.

Halafu huyu jamaa haeleweki, yaani mtu ambaye wengi tumemuweka kwenye poup list, yeye ndo anayemfuata fuata
Jinga kabisa, ngoja nalo niliweke kwenye kimba list.
 
Usiyenielewa ni wewe tu na MAZWAZWA wenzio. Mimi ni Mtanzania nina haki ya kukusoa chochote kile ndani ya nchi yangu na wewe ZWAZWA na MAZWAZWA wenzio hamuwezi kufanya lolote lile.

Kwa hiyo ukosoaji wako haukamiliki bila kujipendekeza kwa huyu maimuna MK254. Miaka yole ulikuwa unakosoa tunakuona wa maana, lkn sasa no one is taking you serious. Ndo maana unatag tu hata kenge manyoya. 😁😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…