Bbc Swahili acheni upendeleo wa habari vita vya Iran

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
9,722
Reaction score
15,117
Tupeni habari kamili bila upendeleo.

Habari zenu zimegemea sana marekani na Isreal badala ya kutupa habari sahihi za vita. Mnatupa kauli za Trump na letanyahu huku kauli za Iran mnazitia kabitini na hamtaki kabisa washabiki wenu tuzisikie.

Mnatunyima fursa washabiki wenu
Tupeni taarifa za kushambuliwa kinu cha nyuklia cha Isreal. Fanyeni uchunguzi na mtupe athari wanayopata America na Israel. Mbona vikitokea Africa mnafanya uchambuzi wa kina na kutupa taarifa?

Kwanini kwa America na Isreal mnakuwa wagumu?
 
umeshavimbewa pilau la idd Sasa ndio unakurupuka kwa vijambo
 
Mkiristo wewe? Au mpagani?
unataka kuleta mambo ya walawi? na Mimi kabila langu hatuli kabisa kondoo. Hii ni Asili siwezi kupiga asili ya mtu. Miafrika ingekuwa na akili Leo isingekuwa inavaa kanzu, inakaa chini kwenye ibada, inatumika ubani kwenye ibada, unakula tende hayo ni mbo ya kitamaduni .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…