BBC Swahili chombo cha kueneza propaganda za Kenya

slimdr

Member
Joined
Aug 14, 2015
Posts
31
Reaction score
4
Nimekuwa mfuatiliaji wa taarifa za habari za BBC. Kinachonishangaza ni kuwa habari zao nyingi ni za Kenya. Hata harakati za uchaguzi Tz hardly zinapewa nafasi ktk taarifa zao.
 
asante kwa jibu zuri ambalo mkapa hataki sikia
Hawa mawatawala ya kwetu yakipata nafasi ya kukutana na waandishi wa habari wa vyombo vya habari vikubwa kama hivi kazi yao nikuomba watafutiwe mademu huko ughaibuni ndio maana hawa waandishi wanawakwepa!
 
1. unakerwa nini na bbc swahili kutangaza taarifa nyingi za Kenya?
2. Ulitaka taarifa hizo zitangazwe na chombo gani?
3. Ulitaka Tanzania zitangazwe taarifa zipi?
 
Ndio maana mnaitwa wapumbavu. Kenyata ana share kwenye shirika la BBC au unaropoka kwaa kuwa tayari umeshakunywa gongo?

punguani hujaelewa anachomaanisha mwenzio umekurupuka
kama umefumwa gesti
 
siri ya urembu ni hii
1. salim kikeke-mkenya
2. keira-mkenya
3. zuhura yunus-mkenya
mnatarajia hapo warushe habari za wapi zaidi?
tulikuwa angalau na mtanzania mmoja charles hillary lakini sielewi ni nini hasa kilichotokea tukaambiwa mkataba wake umeisha. who knows kama walimfanyia njama!
msisahau hata Prof. tibaijuka alipokuwa UN habitat ni haohao wakenya walimpiga vita mpaka akapoteza kazi! (UN habitat headquarters Nairobi!)
Huo ni mtizamo wangu hata hivyo.

Nimekuwa mfuatiliaji wa taarifa za habari za BBC. Kinachonishangaza ni kuwa habari zao nyingi ni za Kenya. Hata harakati za uchaguzi Tz hardly zinapewa nafasi ktk taarifa zao.

Rais wa Kenya anajitambua

asante kwa jibu zuri ambalo mkapa hataki sikia

kwani nyie simnayo tbcccm yenu? mmezoea kupangia vyombo vya habari bbc hamuiwezi.

Sasa pumba na fiesta la jana bbc warushe kweli?

Ndio maana mnaitwa wapumbavu. Kenyata ana share kwenye shirika la BBC au unaropoka kwaa kuwa tayari umeshakunywa gongo?

Hawa mawatawala ya kwetu yakipata nafasi ya kukutana na waandishi wa habari wa vyombo vya habari vikubwa kama hivi kazi yao nikuomba watafutiwe mademu huko ughaibuni ndio maana hawa waandishi wanawakwepa!

1. unakerwa nini na bbc swahili kutangaza taarifa nyingi za Kenya?
2. Ulitaka taarifa hizo zitangazwe na chombo gani?
3. Ulitaka Tanzania zitangazwe taarifa zipi?

punguani hujaelewa anachomaanisha mwenzio umekurupuka
kama umefumwa gesti

Baha baha baha baha
 
Ndio maana mnaitwa wapumbavu. Kenyata ana share kwenye shirika la BBC au unaropoka kwaa kuwa tayari umeshakunywa gongo?

Hasira hulala kifuani mwa mpumbavu sasa sisi na nyie nani mpumbavu:what::banghead:
 
Bavicha mnashangaza sana.mnajiaibisha BBC siyo channel 10 hivi mbona mna tabia za ajabu Sana?
 
Habari za Tanzania nasikiliza kila siku bbc Swahili TV pia katika radio haya malalamiko yanatoka wapi?
 
Nimekuwa mfuatiliaji wa taarifa za habari za BBC. Kinachonishangaza ni kuwa habari zao nyingi ni za Kenya. Hata harakati za uchaguzi Tz hardly zinapewa nafasi ktk taarifa zao.

UKAWA Punguzeni kulalamika.......!!!.!.
 
kweli huyu jamaa ni Abunuas kama jina lake lilivyo,Kama hujui uliza
KIKEKE MTANZANIA
KAIRA MGANDA
ZUHRA YUNUS MTANZANIA
Kuhusu Mama Tibaijuka muda wake ulikwisha.UN sio kma serikalini kwamba ukiajiriwa mpaka ufe.jitambue
 
Mijitu mingine hovyo Nshu na mada ni bbc yanaleta upuziupuzi
 
Hakuna ulazima kwa habari zetu kusomwa BBC, upuuzi kama huu ndio unafanya mataifa madogo yajione duni na wengine wazamie Ulaya na kufa baharini kufuata maisha mabovu.

Media za 'kimataifa' zikiripoti ya Ulaya ni mema, ya Afrika basi majanga au watu wameuana. MArekani kila siku weusi wanauwawa na polisi, wanauwana wenyewe kwa wenyewe na huwaoni wakiripoti.

Takataka!
 
..kama watawala wenu TZ wanahaha kila kukicha kuwanyima taarifa kwa kupitia TV ya taifa (TBC)....vipi mtegemee chombo cha nje kama BBC kiwe na mengi ya kusema juu yenu watanzania???...charity begins at home brah....wakenya na viongozi wao wameamka...na wanaishi yale wanayosema...
 
Nijuavyo mimi kitendo wanachokifanya ni uvunjifu wa mahusiano mazuri na ujirani mwema kimataifa! hiyo ni njia ya kivita kwa njia ya media propoganda! sasa kinachohitajika nikuwajibu kwa njia ya kutogombana nao kama ni waelewa wataacha kama waki kaidi wasitulaumu! wakupumbuke mdomo uliponza kichwa kikapigwa kofi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…