Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais wa Kenya anajitambua
Rais wa Kenya anajitambua
Hawa mawatawala ya kwetu yakipata nafasi ya kukutana na waandishi wa habari wa vyombo vya habari vikubwa kama hivi kazi yao nikuomba watafutiwe mademu huko ughaibuni ndio maana hawa waandishi wanawakwepa!asante kwa jibu zuri ambalo mkapa hataki sikia
Ndio maana mnaitwa wapumbavu. Kenyata ana share kwenye shirika la BBC au unaropoka kwaa kuwa tayari umeshakunywa gongo?
Ndio maana mnaitwa wapumbavu. Kenyata ana share kwenye shirika la BBC au unaropoka kwaa kuwa tayari umeshakunywa gongo?
Nimekuwa mfuatiliaji wa taarifa za habari za BBC. Kinachonishangaza ni kuwa habari zao nyingi ni za Kenya. Hata harakati za uchaguzi Tz hardly zinapewa nafasi ktk taarifa zao.
Rais wa Kenya anajitambua
asante kwa jibu zuri ambalo mkapa hataki sikia
kwani nyie simnayo tbcccm yenu? mmezoea kupangia vyombo vya habari bbc hamuiwezi.
Sasa pumba na fiesta la jana bbc warushe kweli?
Ndio maana mnaitwa wapumbavu. Kenyata ana share kwenye shirika la BBC au unaropoka kwaa kuwa tayari umeshakunywa gongo?
Hawa mawatawala ya kwetu yakipata nafasi ya kukutana na waandishi wa habari wa vyombo vya habari vikubwa kama hivi kazi yao nikuomba watafutiwe mademu huko ughaibuni ndio maana hawa waandishi wanawakwepa!
1. unakerwa nini na bbc swahili kutangaza taarifa nyingi za Kenya?
2. Ulitaka taarifa hizo zitangazwe na chombo gani?
3. Ulitaka Tanzania zitangazwe taarifa zipi?
punguani hujaelewa anachomaanisha mwenzio umekurupuka
kama umefumwa gesti
Baha baha baha baha
Ndio maana mnaitwa wapumbavu. Kenyata ana share kwenye shirika la BBC au unaropoka kwaa kuwa tayari umeshakunywa gongo?
Nimekuwa mfuatiliaji wa taarifa za habari za BBC. Kinachonishangaza ni kuwa habari zao nyingi ni za Kenya. Hata harakati za uchaguzi Tz hardly zinapewa nafasi ktk taarifa zao.
Nijuavyo mimi kitendo wanachokifanya ni uvunjifu wa mahusiano mazuri na ujirani mwema kimataifa! hiyo ni njia ya kivita kwa njia ya media propoganda! sasa kinachohitajika nikuwajibu kwa njia ya kutogombana nao kama ni waelewa wataacha kama waki kaidi wasitulaumu! wakupumbuke mdomo uliponza kichwa kikapigwa kofi!siri ya urembu ni hii
1. salim kikeke-mkenya
2. keira-mkenya
3. zuhura yunus-mkenya
mnatarajia hapo warushe habari za wapi zaidi?
tulikuwa angalau na mtanzania mmoja charles hillary lakini sielewi ni nini hasa kilichotokea tukaambiwa mkataba wake umeisha. who knows kama walimfanyia njama!
msisahau hata Prof. tibaijuka alipokuwa UN habitat ni haohao wakenya walimpiga vita mpaka akapoteza kazi! (UN habitat headquarters Nairobi!)
Huo ni mtizamo wangu hata hivyo.