kilamuruzi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,232
- 1,075
Unajua kenya ni nchi yenye watu masikini sana kuliko hata tanzania . Mimi huwa nashangaa kitu kimoja hapa tanzania asilimia kubwa huwa zinajitoshereza kwa kaya na watu wanaolia na umasikini wote ni wavivu hawataki kufanyakazi. Na kenya huwa wanatumia minya hiyo kutupaka sifa mbaya watanzania kusema ukweli wakenya sio watu wema kwa tanzania
hahahaha inabidi nicheke tu, takwimu zipo nyingi zaku bainisha nani maskini kati ya hizo nchi mbili mkuu, tusitoke kwenye mada lakini, kwani hio BBC inamilikiwa na wakenya? BBC wanaajiri watu na merit ama nationality? Kwani BBC haina mfumo wa kubainisha habari taka na habari za kweli? kama mna shida na BBC mnaweza petition na malalamishi yenyu yatashughulikiwa na yakatatuliwa, Kenya tulikuwa na shida hivyo na CNN, tukapiga kelele hadi wakaomba msamaha. Tusipende longo longo kila saa, Kenya kama nchi hatuna shida yoyote na majirani wetu, hapa hakuna any malicious move from the Kenyan gvt or its people, hizi chuki na umbea tuziwache vijiweni, hapa ni JF, home of great thinkers.
Hakuna cha ujirani wala nini wankenya wamezuia watanzania kuuza mahindi kenya wakisungizia hayana ubora hapo hapo wao wankuja kuyalangua hapa tanzania na kuyapeleka kuuza kwa bei wanayotaka. Lakini mtanzania akipeleka inabidi aishie namanga ampe mkenya ndio amuuzie mwisho wa siku anashurumiwa. Wapi ujirani hapo. Bidhaa kutoka tanzania haiwezi huzwa kenya watanzania kibao wananyanyaswa huko kenya.
The producer and chief editor of the programme Ms 'Mariam Omar' ni mkenya, she is responsible on the broadcast view point. Can you see the relationship why indirectly Kenya is involved in tarnishing the image of our country through this biased woman.How dumb and paranoid can you actually be to believe that an international media house as big as BBC can be used by Kenya or Kenyans to taint the name and image of a neighboring country? How daft can people really get?
hapo utapambana na nani sasa? wakenya au BBC?Nijuavyo mimi kitendo wanachokifanya ni uvunjifu wa mahusiano mazuri na ujirani mwema kimataifa! hiyo ni njia ya kivita kwa njia ya media propoganda! sasa kinachohitajika nikuwajibu kwa njia ya kutogombana nao kama ni waelewa wataacha kama waki kaidi wasitulaumu! wakupumbuke mdomo uliponza kichwa kikapigwa kofi!
Hambebeki!!!! BBC imejenga studio za kisasa Dar es salaam lakini hamzitumii, sheria mtandao kandamizi hamtaki kurekebisha, nyie ni kulaumu tu.Nimekuwa mfuatiliaji wa taarifa za habari za BBC. Kinachonishangaza ni kuwa habari zao nyingi ni za Kenya. Hata harakati za uchaguzi Tz hardly zinapewa nafasi ktk taarifa zao.
Salim kikeke ni mtanzania ( SINGIDA)siri ya urembu ni hii
1. salim kikeke-mkenya
2. keira-mkenya
3. zuhura yunus-mkenya
mnatarajia hapo warushe habari za wapi zaidi?
tulikuwa angalau na mtanzania mmoja charles hillary lakini sielewi ni nini hasa kilichotokea tukaambiwa mkataba wake umeisha. who knows kama walimfanyia njama!
msisahau hata Prof. tibaijuka alipokuwa UN habitat ni haohao wakenya walimpiga vita mpaka akapoteza kazi! (UN habitat headquarters Nairobi!)
Huo ni mtizamo wangu hata hivyo.
asante. maasalamu.Salim kikeke ni mtanzania ( SINGIDA)
Zuhura Yunus mzanzibari UK)
Charles Hilary, Mzanzibari
Keira hayuko tena BBC
Mtizamo wako una kasoro na kasumba
Sasa ni zamu yao. Yenu si mlikuwa mnaweka wajamaa, na watu wenye mirengo ya kufanya kazi za akina ghadafi na wapalestina, na watetezi wa magaidi ili kudanganya wa mzungumzaji wa kiswahili. Mkiwaita wachambuzi wa masuala..sijui gani na gani. Shivji, haribu Othman, bashiru, etc..waliojificha ktk ujamaa kufanya kazi za waasia.Nimekuwa mfuatiliaji wa taarifa za habari za BBC. Kinachonishangaza ni kuwa habari zao nyingi ni za Kenya. Hata harakati za uchaguzi Tz hardly zinapewa nafasi ktk taarifa zao.
Naogopa kupigwa ban,vinginevyo watu kama nyie mnatakiwa kutupwa kwenye mito yenye mamba wenye njaaHawa mawatawala ya kwetu yakipata nafasi ya kukutana na waandishi wa habari wa vyombo vya habari vikubwa kama hivi kazi yao nikuomba watafutiwe mademu huko ughaibuni ndio maana hawa waandishi wanawakwepa!
At least kwa kutojua ndio kapata ujasiri wa kusema uozo wa watz wakipata nafasi haramu wanafanya nini?Salim kikeke ni mtanzania ( SINGIDA)
Zuhura Yunus mzanzibari UK)
Charles Hilary, Mzanzibari
Keira hayuko tena BBC
Mtizamo wako una kasoro na kasumba
Rais wa Kenya anajitambua