kilamuruzi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,232
- 1,075
Unajua kenya ni nchi yenye watu masikini sana kuliko hata tanzania . Mimi huwa nashangaa kitu kimoja hapa tanzania asilimia kubwa huwa zinajitoshereza kwa kaya na watu wanaolia na umasikini wote ni wavivu hawataki kufanyakazi. Na kenya huwa wanatumia minya hiyo kutupaka sifa mbaya watanzania kusema ukweli wakenya sio watu wema kwa tanzania