Bulelaa
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 1,342
- 3,247
Hao walebanoni ni nani zako mpaka ukoseusingiziHizo propaganda zenu baada ya kushindwa Urusi mumehamia Mashariki ya kati? Ukifungua page ya website ya bbc swahili kila kukicha Isreal hivi hivi huku ikishindwa kuandika kabisa mafanikio ya Palestina.
Licha majeshi ya Isreal kupigwa na kurudishwa nyumbani kwao ktk majeneneza lkn wamekuwa kimya.
Wanavyoripoti na uhalisia ni tofauti.
Kama wanavyoripoti ni kweli ni zawadi sio America wala UK angaliomba Hamas wasimamishe vita.
Angalau waache bias kidogo
Lilax jomba, kula vizuri na ufanye kazi zako, maana ni kwa upumbavu wao wacha wauliwe
Lilax, kula vizuri na fanya mambo yako, wasikupotezee muda, ngoja acha wabebe msalaba wao