LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 29,814
- 47,414
wakiifungia zile redio washirika zitaathirika vipindi vipindi vyake vya kujiunga. Bora BBC irushe matangazo yake moja kwa moja bila kupitia redio washirikaMimi naamini watafungiwa tu hao BBC
wakiifungia zile redio washirika zitaathirika vipindi vipindi vyake vya kujiunga. Bora BBC irushe matangazo yake moja kwa moja bila kupitia redio washirikaMimi naamini watafungiwa tu hao BBC
Ni kweli kabsa! Ni sawa na kumfungia ndani German Shepherd halafu ukamuachia Bulldog kwa kosa lileSiku Jf ikifunguliwa huko Tanzania, walioifungia hawataamini macho yao. Hoja itaanza kujadiliwa upyaaa.
Ni afadhali wahusika wangetoa tu ufafanuzi kuliko kufungia mtandao
ThubutuuuuMimi naamini watafungiwa tu hao BBC
Wameamua kumuumiza tu mkuu ngoja tuone kama watawapiga mkwara BBC SwahiliMaxence Melo pole sana.
Uwezo huo hawana, wewe kama raisi wawezaje kupiga picha umevaa kanga logically unless labda ni siku ya utamaduni kitaifaWameamua kumuumiza tu mkuu ngoja tuone kama watawapiga mkwara BBC Swahili
Yale yale, unajitupa kutoka darajani unaangukia kwenye gari la taka na hufi😂😂 Unakula sumu haufi unajimwaga Mtoni Mamba wote wanakimbia.