BBC Swahili na maswali kwa TCRA: JamiiForums Mbuzi wa Kafara?

Siku Jf ikifunguliwa huko Tanzania, walioifungia hawataamini macho yao. Hoja itaanza kujadiliwa upyaaa.
Ni afadhali wahusika wangetoa tu ufafanuzi kuliko kufungia mtandao
 
Siku Jf ikifunguliwa huko Tanzania, walioifungia hawataamini macho yao. Hoja itaanza kujadiliwa upyaaa.
Ni afadhali wahusika wangetoa tu ufafanuzi kuliko kufungia mtandao
Ni kweli kabsa! Ni sawa na kumfungia ndani German Shepherd halafu ukamuachia Bulldog kwa kosa lile
 
Mkienda huko Fesibuku utakutana na Comments πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ zikiwataka TCRA waifungie BBC Swahili kwani haina maadili πŸ˜ƒ
 
Sisi kama serikali tupo tunaandaa makomando wa kufanya 'uvamizi' katika studio za BBC ngoja tunyofoe kwanza plate no kwanza!
Nipo hapa njoo uniite πŸ• mkiweza
 
Yale yale, unajitupa kutoka darajani unaangukia kwenye gari la taka na hufi
Unakwenda kujipiga kitanzi ufe, unakutana na Cobra 🐍 unakimbia! πŸ˜ƒ πŸ˜€ πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…