BBC Swahili na maswali kwa TCRA: JamiiForums Mbuzi wa Kafara?

Hivi naskia wale jamaa wa YouTube Chanzo Tv waliofanya interview na Maxence Melo nao wameambiwa watoe hiyo content huko YouTube, vipi hii inaukweli???

Hawa Pimbi sasa naona wanavuka mipaka hawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…