luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Nazungumzia BBC swahili ...Achana na BBC swahili kuna ile BBC English mbn iko fit sana.
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Au utasikia karibu katika "makala haya" badala ya "makala hii". Yani hawajali chochote na mshahara wanapokea.Kuna wakati unawasikia wanasema:
Amefariki dunia badala ya Amefariki au Ameaga dunia.
Ameaga dunia ni mbinu/nahau.
Amefariki dunia ni nini?
Utasikia Amelala usingizi.
Kulala na.kusinzia ni sawa?
Ati Madawa ya kulevya.
Kwa nini isiwe Dawa za kulevya.
Yapo mengi.
Kabisaaa mtalaam, na pasi na shaka iyo kazi imefanywa na wa KEHicho kiswahili ni kama kimetafsiriwa na google