BBC: Tanzania kuingia uchumi mdogo wa kati wajipange, misaada na mikopo nafuu yote itakoma na haitapata misaada kama zamani na upendeleo wa kifedha

BBC: Tanzania kuingia uchumi mdogo wa kati wajipange, misaada na mikopo nafuu yote itakoma na haitapata misaada kama zamani na upendeleo wa kifedha

Tegemea pia NGOs nyingi kufa rasmi maana misaada yake ilikuwa ni kuondoa au kupunguza umaskini. Hivyo Eligibility criteria itaondoa Tanzania. Ngoja tuone
zife mara ngapi mkuu?
 
zife mara ngapi mkuu?
Yaani Mkuu kuna zile zilbaki maana nyingi kwa sasa zimeshakufa. Yaani surviving ya NGOs kwa huu uchumi wa Kati plus COVID plus ile mahusiano na wenzetu basi kwisha kazi. Zitakazobaki ni zile ambazo zilikuwa na sustainability plan ya kuwa na independent income generating entity. Ni majanga.
 
Mkuu kumbe ni kweli tumeingiamo humo?

Mlibisha kwa nguvu sana kaka
Tumeingia wapi?Unaelewa kuwa Tanzania huwezi kuilinganisha na Malasia,Indonesia na Singapore japokuwa wote wapo katika uchumi wa kati?Unaelewa kuwa uchumi wa kati wa Tanzania ni uchumi wa kati mchwara?
 
Watu tunashangilia bila kujua mi naona haka ni ka mtego...maana misaada midogo modogo kwishney!!
 
World Bank will have to clarify this...
Kumbe wametudanganya??
Tumeingia wapi?Unaelewa kuwa Tanzania huwezi kuilinganisha na Malasia,Indonesia na Singapore japokuwa wote wapo katika uchumi wa kati?Unaelewa kuwa uchumi wa kati wa Tanzania ni uchumi wa kati mchwara?
 
Kwa furaha tunayofurahia ndio tujipange kwa sababu maumivu yanayokuja kwa kupanda daraja ni makubwa.

1. Misaada iliyokuwa inapata kama nchi maskini itakatwa
2. Mikopo iliyokuwa inasemwa nafuu itakuwa haipo tena.
3. Mikataba yenye unafuu wa kibiashara itakuwa tofauti ile dhana ya kusaidiwa inaondolewa kwa sababu unajiweza.
4. Misaada kama ya madawa mfano HIV inaweza kuondoleaa ikiwemo na baadhi ya chanjo.

Hivyo tujipange.

Pia soma
- Nini maana ya Tanzania kutangazwa kuwa Nchi ya Uchumi wa Kati (MIC) na Benki ya Dunia?
- News Alert: - Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati
Kwahiyo ulitaka tuendelee kusaidiwa mpaka lini ?,acha ujinga wewe ,kama ulikuwa unafaidika na hiyo misaada ni wewe si wote ,acha kujidhalilisha kwa kupenda misaada ,
 
Siasa za kibongo hatari sana, yaan mtu amechukia kabisa nchi yake kuingia low mid income 😃
Nilichoona kashauri tujipange maana kuna baadhi ya vitu vitapungua!Sijaona ubaya wowote wa hoja ya mleta mada unless ni chuki binafsi dhidi take!
 
Return Of Undertaker,
Ni kweli.

Lakini kweli kuna nchi inayofurahia kuwa maskini ili ipate misaada?

Kama kuna sababu za kusikitikia kupanda daraja, binafsi sizioni hizi kuwa za muhimu.

Ndio, ni kama kijana kabalehe, kawa mtu mzima, acha akapambane na dunia. Pengine tukipata ugumu huo, ndio akili itatuingia vichwani.
Ndio kashauri tujipange!
 
Return Of Undertaker,

Sijui ni mimi?

Nahisi hawa "mabeberu" wame factor up per capita income yetu makusudi ili tule jeuri yetu baada ya kusikia tunajiita eti "matajiri"!

[emoji28][emoji28][emoji28]
So what?,kama plan yao ni kupigiwa magoti ,si kwa utawala huu,litapita kama la corona ,napenda sana msimamo wa current presidaa
 
Mauritius ameshaingia kwenye uchumi wa juu, sina hakika kama kuna nchi nyingine ya africa kwenye hilo kundi, uchumi wa kati wa juu wapo kina South Africa
 
Kwa furaha tunayofurahia ndio tujipange kwa sababu maumivu yanayokuja kwa kupanda daraja ni makubwa.

1. Misaada iliyokuwa inapata kama nchi maskini itakatwa
2. Mikopo iliyokuwa inasemwa nafuu itakuwa haipo tena.
3. Mikataba yenye unafuu wa kibiashara itakuwa tofauti ile dhana ya kusaidiwa inaondolewa kwa sababu unajiweza.
4. Misaada kama ya madawa mfano HIV inaweza kuondoleaa ikiwemo na baadhi ya chanjo.

Hivyo tujipange.

Pia soma
- Nini maana ya Tanzania kutangazwa kuwa Nchi ya Uchumi wa Kati (MIC) na Benki ya Dunia?
- News Alert: - Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati
Ikiwezekana wasitishe misaada yote.
 
Walioiona Tanzania kuwa inastahili kuingia uchumi wa kati wameona kuwa kwa sasa, ina uwezo wa kufidia pengo la misaada yote hiyo uliyoitaja, ikiwa ni pamoja na kuwa ina uwezo wa kutengeneza kipata kingine cha ziada juu ya misaada hiyo. We unaona uchungu Tanzania kuingia kwenye uchumi wa kati? JPM anaposema kuwa tunatakiwa kuwa donor country huwa unamwelewa, au unadhani ni Siasa? Subiri hadi 2025 utaona kitakachokuwa kimefanyika
Are you serious au unatania..!!?? Bajeti tunayojipangia, kiasi gani kinatoka nje ya uwezo wetu?
 
Back
Top Bottom