pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Kwani ni nani amesema kwamba watu hawataendelea kuchapa kazi? 😕 Hizi ni wanzuki za jua kali na njaa, sio bure. [emoji38]Ishu kubwa na ya muhimu ni kwamba, watu wataendelea kupiga kazii..kufanya biashara. Hilo ndio la muhimu. Na hao wanajeshi wapo hapo mpakani ili kuhakikisha biashara inafanyika kwa utaratibu hapo mpakani.