pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Kwani ni nani amesema kwamba watu hawataendelea kuchapa kazi? 😕 Hizi ni wanzuki za jua kali na njaa, sio bure. [emoji38]Ishu kubwa na ya muhimu ni kwamba, watu wataendelea kupiga kazii..kufanya biashara. Hilo ndio la muhimu. Na hao wanajeshi wapo hapo mpakani ili kuhakikisha biashara inafanyika kwa utaratibu hapo mpakani.
Hicho ulicho copy paste umekielewa kweli? Kwanza kabisa hamna sehemu nimesema Uganda imekataza Watanzania wasiingie kwao, ila wanaoruhusiwa lazima iwe ni kwa sababu maalum za kibiashara na lazima wapimwe, muingiliano baina ya ndugu mpakani haswa watu wa kabila moja hairuhusiwi tena, na kitendo cha Uganda kuweka jeshi mpakani kinaonyesha walivyo makini kwa hili, hawataki huo uchafu.
Kwani ni nani amesema kwamba watu hawataendelea kuchapa kazi? 😕 Hizi ni wanzuki za jua kali na njaa, sio bure. [emoji38]
Tushike lipi Sasa kichaaa au ilo lingine?Hehehe!! Hebu wekeni mdahalo baina yao kama jinsi huwa tunafanya huku, sipati picha, ila huyo Tundu Lissu ni bonge la kichaa, ana ujasiri usio wa kawaida, kwa nilivyo mwoga uniondoshe kwenye nchi kwa marisasi yote hayo siwezi kuthubutu kurudi, naihama kabisa na kusahau yalipo makaburi ya wazazi.
Jamaa alivyo mjasiri kaamua kurudi na kuwania urais moja kwa moja.
Mambo ya mpaka wa Tanzania na uganda yanawahusu nini Wekenya?
Museveni hawezi kufanya kosa kubip Tanzania,anajua kitachompata.Mbwembwe tu wanetu hao.
We ndo mana unapewaga mitusi unamwaga michozi.Waganda hawacheki na nyie watu maana hawataki kuvuna mabua, wameweka jeshi kabisa, mthubutu kuzamia mchezee kipodo na kurushwa vichura.
Sisi huwa tunawahurumia sana mkilialia.
We unaongea nini, juzi tu nilikuwa Uganda kwa demu wangu anafanya kazi kiwanda cha Azam karibu na kiwanda cha nywele bandia za Darling na nimeingia na kutoka fresh tu afu saizi uko hapa kutapika usiyoyajua.Waganda hawacheki na nyie watu maana hawataki kuvuna mabua, wameweka jeshi kabisa, mthubutu kuzamia mchezee kipodo na kurushwa vichura.
Sisi huwa tunawahurumia sana mkilialia.
Kenya wanaume ndio wenye hofu ya corona kuliko wanawakeView attachment 1528750
We unaongea nini, juzi tu nilikuwa Uganda kwa demu wangu anafanya kazi kiwanda cha Azam karibu na kiwanda cha nywele bandia za Darling na nimeingia na kutoka fresh tu afu saizi uko hapa kutapika usiyoyajua.
hapo mpakani wangekua wanapita wakenya tayari wangeshakula kichapo bt kwa kua ni sisi wababe tunapita bila shida, bado nyinyi tu ndo mnajileta kwenye 18 zetu kuna siku tutawasasambua mpaka mjute nyang'au nyinyi.Hiki kipindi cha corona hamna cha heshima wala undugu, Uganda hatanii ameweka jeshi kabisa kuzuia huo uchafu wenu, nakumbuka nilisoma sehemu jinsi Rwanda naye anawazingua sana haswa madereva wenu, Kagame na Museveni ni aina ya vingozi wenye uwezo wa kufanya maamuzi magumu hadi nimeipenda sana, hawacheki na nyie watu.