BBC:wana mahaba na Liverpool fc nini!

BBC:wana mahaba na Liverpool fc nini!

Jitu Refu

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2016
Posts
823
Reaction score
811
Kila muda wanaisifia Liverpool na Daniel Sturridge "kuwa kafunga magoli mawili Jana na Liverpool haijapoteza mechi 10.

Mbona Arsenal hajapoteza mechi 14 mpaka sasa na Jana Oxlade Chamberlain nae kafunga magoli mawili(2) na hawaisemi.Agrrrrrrr
 
afad1112684f94356096a8998005e78b.jpg
 
Kila muda wanaisifia Liverpool na Daniel Sturridge "kuwa kafunga magoli mawili Jana na Liverpool haijapoteza mechi 10.

Mbona Arsenal hajapoteza mechi 14 mpaka sasa na Jana Oxlade Chamberlain nae kafunga magoli mawili(2) na hawaisemi.Agrrrrrrr

Arsenal ilipigwa na Liverpool ndo maana wanamsema mbabe wao.

BTW, Arsenal kacheza na nani? Maana Liver kafunga timu ngumu.
 
Pigia mstar mkuu.....umeona chief editor ni wa wapi hahahaaa

Hivi mkuu mfano wewe uko neutral na una chombo cha habari unatakiwa kufanya coverage ya mechi moja kati ya Arsenal vs Reading au Liverpool vs Tottenham utachagua ipi?
 
Kila muda wanaisifia Liverpool na Daniel Sturridge "kuwa kafunga magoli mawili Jana na Liverpool haijapoteza mechi 10.

Mbona Arsenal hajapoteza mechi 14 mpaka sasa na Jana Oxlade Chamberlain nae kafunga magoli mawili(2) na hawaisemi.Agrrrrrrr

Sasa Unataka isifiwe Arsenal inayofunga Magoli Ya Mikono au???
Liverpool Kwenye Ligi Kacheza na Arsenal, Chelsea, Man U na Spurs Bila Ya Kupoteza Hata Moja! Je wewe Arsenal Usifiwe Kwa Kipi Wakati Huyo Liver Kakutwanga Manne???
 
Lakini kwenye msimamo npo juu yake na sjapoteza mechi 14 huoni nina vgezo vikubwa kumzidi?
 
Uko juu yake kwa zaidi ya point ngapi!!? Mambo mengine sio ya kulalamikia..head to head nmekua
Chapa,point tunalinagana unataka nini sasa!?mwisho wa Siku kizuri cha jiuza na kibaya chajitembeza...
 
Haya bhana,ila usiambie kuwa liverpool ni kzuri af kbaya n arsenal,hapo hatutaelewana
 
Back
Top Bottom