Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila muda wanaisifia Liverpool na Daniel Sturridge "kuwa kafunga magoli mawili Jana na Liverpool haijapoteza mechi 10.
Mbona Arsenal hajapoteza mechi 14 mpaka sasa na Jana Oxlade Chamberlain nae kafunga magoli mawili(2) na hawaisemi.Agrrrrrrr
Pigia mstar mkuu.....umeona chief editor ni wa wapi hahahaaa
Una akili sana!Hivi mkuu mfano wewe uko neutral na una chombo cha habari unatakiwa kufanya coverage ya mechi moja kati ya Arsenal vs Reading au Liverpool vs Tottenham utachagua ipi?
Kila muda wanaisifia Liverpool na Daniel Sturridge "kuwa kafunga magoli mawili Jana na Liverpool haijapoteza mechi 10.
Mbona Arsenal hajapoteza mechi 14 mpaka sasa na Jana Oxlade Chamberlain nae kafunga magoli mawili(2) na hawaisemi.Agrrrrrrr
Lakini kwenye msimamo npo juu yake na sjapoteza mechi 14 huoni nina vgezo vikubwa kumzidi?Sasa Unataka isifiwe Arsenal inayofunga Magoli Ya Mikono au???
Liverpool Kwenye Ligi Kacheza na Arsenal, Chelsea, Man U na Spurs Bila Ya Kupoteza Hata Moja! Je wewe Arsenal Usifiwe Kwa Kipi Wakati Huyo Liver Kakutwanga Manne???
Uko juu yake kwa zaidi ya point ngapi!!? Mambo mengine sio ya kulalamikia..head to head nmekuaLakini kwenye msimamo npo juu yake na sjapoteza mechi 14 huoni nina vgezo vikubwa kumzidi?
Haya bhana,ila usiambie kuwa liverpool ni kzuri af kbaya n arsenal,hapo hatutaelewanaUko juu yake kwa zaidi ya point ngapi!!? Mambo mengine sio ya kulalamikia..head to head nmekua
Chapa,point tunalinagana unataka nini sasa!?mwisho wa Siku kizuri cha jiuza na kibaya chajitembeza...
Inabidi uelewe hivyo tu maana uzuri wa club unapimwa kwa mafanikio yake...(kabati la vikombe)Haya bhana,ila usiambie kuwa liverpool ni kzuri af kbaya n arsenal,hapo hatutaelewana
Lakini kwenye msimamo npo juu yake na sjapoteza mechi 14 huoni nina vgezo vikubwa kumzidi?