USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Awali kulikuwa na taarifa za mateka wa Kitanzania kwa muda mrefu vikafanyika vikao vya dharura vya SADC ikawa bila bila.
Juzi rais wa Burundi anasema anapigana pia kusaidia ndugu zake wa Tanzania huku BBC idhaa ya kiswahili iliripoti kuwa idadi ya askari wa liouawa na M23 ni kutoka Afrika Kusini, Malawi na Tanzania ila hapa Tanzania hakuna taarifa.
Tunaomba taarifa ili tujue maana tuna ndugu, mme, mke na marafiki huko Congo, msifanye siri tafadhali
USSR
a