Tunamuogopa Kagame.Awali kulikuwa na taarifa za mateka wa kitanzania kwa muda mrefu vikafanyika vikao vya dharura vya SADC ikawa bila bila .
Juzi rais wa Burundi anasema anapigana pia kusaidia ndugu zake wa Tanzania huku BBC idhaa ya kiswahili iliripoti kuwa idadi ya askari wa liouwawa na M23 ni kutoka Afrika kusini Malawi na Tanzania ila hapa Tanzania hakuna taarifa.
Tunaomba taarifa ili tujue maana tuna ndugu,mme,mke na marafiki huko Congo, msifanye siri pls
USSR
View attachment 3221522a
Mkuu siyo rahisi kihivyo.Kagame apigwe mara moja.
Ukienda SADC Wewe ni askari wa ShirikishoNimeiona hiyo, Afrika kusini imewekwa wazi. Tanzania inafanya siri aidha inaogopa kutoa tamko Kali kumuuudhi Kagame au haiwajali wanajeshi wake kivile hata kama wameuwawa.
Easier said than done.Halafu kuna kichaa mmoja anakuja JF anasema Tanzania wakati huu vita ikishika kasi tukae kimya, tusiwe na upande. Mpuuzi kabisa.
Kagame apigwe mara moja.
Kwanini sisi Tanzania hatuambiwi Afrika Kusini wamesema 13, Tanzania hatusemi ingawa wapo waliouwawa. BBC imesema jumla ni 16 waliouwawa.Ukienda SADC Wewe ni askari wa Shirikisho
Hao viongozi wanaopeka wajeda wetu kuwapigania wacheza sebene wapeleke na watoto wao huko kwenye kitimtim wakaonje joto ya jiwe, tukichokozwa that's a different story siyo kuwapigania watu ambao hawana nia ya dhati kujipigania wenyewe kwanza.Awali kulikuwa na taarifa za mateka wa kitanzania kwa muda mrefu vikafanyika vikao vya dharura vya SADC ikawa bila bila .
Juzi rais wa Burundi anasema anapigana pia kusaidia ndugu zake wa Tanzania huku BBC idhaa ya kiswahili iliripoti kuwa idadi ya askari wa liouwawa na M23 ni kutoka Afrika kusini Malawi na Tanzania ila hapa Tanzania hakuna taarifa.
Tunaomba taarifa ili tujue maana tuna ndugu,mme,mke na marafiki huko Congo, msifanye siri pls
USSR
View attachment 3221522a
Wawili au MmojaKwanini sisi Tanzania hatuambiwi Afika Kusini wamesema 13, Tanzania hatusemi ingawa wapo waliouwawa. BBC imesema jumla ni 16 waliouwawa.
UN experts estimated last year that Rwanda had between 3,000 and 4,000 troops operating alongside the M23 in eastern DR Congo. Sixteen soldiers from southern African countries have been killed in clashes with the M23 around Goma in the past week.DR Congo conflict: At least 700 killed since Sunday, says UN
The UN estimates another 2,800 were injured as M23 rebels captured the eastern city of Goma.www.bbc.co.uk
Hiyo ilikuwa wiki iliyopita. Kwahiyo tunakaa kimya sio? Aaah ni wawili tu, sio kesi. Ndio sera yetu? Wangapi wakiuwawa tutatangaza, wamejeruhiwa wangapi, wametekwa wangapi?Wawili au Mmoja
Mbona ni Hesabu Nyepesi tu
Thubutuni kumgusa muone Moto wake.Halafu kuna kichaa mmoja anakuja JF anasema Tanzania wakati huu vita ikishika kasi tukae kimya, tusiwe na upande. Mpuuzi kabisa.
Kagame apigwe mara moja.
yàani kagame kapiga nchi kibao. Kwa kuwa kutuma maneno makali SA, nchi zote hizi zipeleke wanajeshi kwa unifomu ya south africa basiTunamuogopa Kagame.