RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Halafu kuna kichaa mmoja anakuja JF anasema Tanzania wakati huu vita ikishika kasi tukae kimya, tusiwe na upande. Mpuuzi kabisa.
Kagame apigwe mara moja.
Inatuhusu sana, kama ilivyotuhusu 2013.Bring back our solders ..hiyo vita haituhusu sisi
Hana moto wowote ni mikwara mbuzi. Ngoja tuje na operation tall Zero.Thubutuni kumgusa muone Moto wake.
Hao viongozi wanaopeka wajeda wetu kuwapigania wacheza sebene wapeleke na watoto wao huko kwenye kitimtim wakaonje joto ya jiwe, tukichokozwa that's a different story siyo kuwapigania watu ambao hawana nia ya dhati kujipigania wenyewe kwanza.
Hana moto wowote ni mikwara mbuzi. Ngoja tuje na operation tall Zero.
Mimi siungi mkono hoja ninataka mgogoro umalizwe kwa mazungumzo,kwasababu ukichaa ni kurudiarudia jambo lilelie na kutegemea matokeo tofauti.imhotep inatakiwa Kagame apigwe kwa nguvu kubwa, nauunga mkono hoja.
Ila nyie nyumbu sometimes mnakuwa na mambo ya kingese sanaWaziri wa ulinzi ila hajui kutumia darubini ya kuwaona maadui kwa mbali. Unategemea tukapigane na akili kubwa kagame tushinde
Labda tupigane na ACT na CUF tunaowamudu
Tatizo wewe una ndimi mbili, wakati huohuo hutaki Kagame auongee na wahutu Warundi Rwanda na kuingizwa Jeshini. Lakini unataka hayo kwa Tshesekedi. Yaani wewe na Kagame hamtaki muongee na hayo makundi yenu yaliyo Congo, lakini mnataka Congo waongee na M23.Mimi siungi mkono hoja ninataka mgogoro umalizwe kwa mazungumzo,kwasababu ukichaa ni kurudiarudia jambo lilelie na kutegemea matokeo tofauti.
Mitutu imeshindwa Dialogue ndio sasa inatakiwa.
Vita ni pesa vita inakula uchumi, hizi fedha za TRA na madeni tunayolipa na Trump kakata misaada tukijiingiza kwenye Vita ya muda mrefu tutakula nyasi.
Kumbuka Vita vya Kagera.
Nataka sana kusikiliza msimamo wa chama changu CHADEMA kuhusu mgogoro wa mashariki ya Kongo jana nilimsikiliza Julius Malema wa EFF anayesema Afrika inahitaji Dialogue.
Hawa Congolese Tutsis wako kwenye ardhi ya Mababu zao ndio maana nasema Tshisekedi aongee naoTatizo wewe una ndimi mbili, wakati huohuo hutaki Kagame auongee na wahutu Warundi Rwanda na kuingizwa Jeshini. Lakini unataka hayo kwa Tshesekedi. Yaani wewe na Kagame hamtaki muongee na hayo makundi yenu yaliyo Congo, lakini mnataka Congo waongee na M23.
Hao hawapo aridhi ya CONGO Bali wametoka Rwanda kuivamia Congo kupitia makundi mbali mbali. Hata Kagame mwenyewe anakili wengi wao wametokea uganda na wachache Rwanda(ingawa ni uongo ) wengi ni wanyarwanda waliorubuni Wacongo wachache kwa maslahi binafsi.Hawa Congolese Tutsis wako kwenye ardhi ya Mababu zao ndio maana nasema Tshisekedi aongee nao
Hao FLDR wako Kongo baada kufanya mauaji ya Kimbari na kukimbilia Kongo sasa umeona tofauti hapo?!
FLDR ni Wanyarwanda waweke silaha chini warejeshwe Rwanda.
Hao hawapo aridhi ya CONGO Bali wametoka Rwanda kuivamia Congo kupitia makundi mbali mbali. Hata Kagame mwenyewe anakili wengi wao wametokea uganda na wachache Rwanda(ingawa ni uongo ) wengi ni wanyarwanda waliorubuni Wacongo wachache kwa maslahi binafsi.
Kagame mwenyewe anakili wapiganaji wengi wa M23 wametokea Uganda, yeye kwake alikua na wakimbizi 500/600 kitu ambacho ni uongo. Ingawa Uganda nayo inahusika, Haina haja ya mm kusikiliza video haliyakua naelewe Kila kitu.
View: https://youtu.be/0RPKMPaAgdg?si=3Go0dnLDjzjDcpulUkweli umeanza kujulikana Waafrika wanaamka ✊️
Watusi wa Kongo wengi walikuwa Wakimbizi Uganda.Kagame mwenyewe anakili wapiganaji wengi wa M23 wametokea Uganda, yeye kwake alikua na wakimbizi 500/600 kitu ambacho ni uongo. Ingawa Uganda nayo inahusika, Haina haja ya mm kusikiliza video haliyakua naelewe Kila kitu.
Vp bongo movie waimba singeli walikuwepoJana nilimuona kwenye habari Waziri wa ulinzi kwenye kampeni za upandaji miti Dodoma nikawaza kuna nini huyu Bibi system inamuibua kupitia media tuone kuwa yupo ofisini/kazini?
Watusi wa Kongo wengi walikuwa Wakimbizi Uganda.
Leaders club kuna kadanse ya mama watu sahv wanaserebukaMama kawambia wafiche hizo taarifa
Ufaransa na UN huwa sio wa kuwaamini sana na huwa wanachukua sides kwa mfano Ufaransa ilituma maelfu ya majeshi ili kwenda kuzuia RPF advance huko Gitarama.France seeks UN resolution naming Rwanda as backer of M23 rebels in DRC
M23’s lightning advance into east DRC being supported by up to 4,000 Rwandan troops, say UN officialswww.theguardian.com
Hawa wote ni waongo sio.
Mbona hiyo "system" mnai overrate sana nyie majamaa nyie?? Hao ni watu tu kama mimi na wewe na hawana maajabu yoyote yale..Jana nilimuona kwenye habari Waziri wa ulinzi kwenye kampeni za upandaji miti Dodoma nikawaza kuna nini huyu Bibi system inamuibua kupitia media tuone kuwa yupo ofisini/kazini?