Z Zawadi Ngoda JF-Expert Member Joined Aug 13, 2009 Posts 4,175 Reaction score 2,294 Feb 4, 2025 #101 njiwa said: Bring back our solders ..hiyo vita haituhusu sisi Click to expand... Hakuna vita isiyokuhusu, hata ya Ukraina inakuhusu kwa namna moja au nyingine. By the way, huko ukraina mataifa zaidi ya 20 yameingilia kwa njia tofauti, iweje kifo cha jirani yako kisikuhusu?
njiwa said: Bring back our solders ..hiyo vita haituhusu sisi Click to expand... Hakuna vita isiyokuhusu, hata ya Ukraina inakuhusu kwa namna moja au nyingine. By the way, huko ukraina mataifa zaidi ya 20 yameingilia kwa njia tofauti, iweje kifo cha jirani yako kisikuhusu?