The Dreamer
JF-Expert Member
- Feb 2, 2009
- 1,282
- 21
Aihitaji tochi kujua kama Jakaya anachukua tena miaka mitano.
Inahitaji tu kujua composition ya NEC?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aihitaji tochi kujua kama Jakaya anachukua tena miaka mitano.
mjiandie kuchukua matokeo yenu, kuliko kuishi kwa kudhani wakati goma liko uwanjani. msijekutamani matokeo yasiyo yenu kwa hisia au mazoea.
Inajulikana wazi kama Kikwete anashinda ,Je unajua kuwa wengi wa wanaohudhuria mikutano ya upinzani hawakujiandikishaa ? Hii ni hasara na ni kosa kwa vyama vya upinzani kutoweza kuwashawishi wananchi katika hekaheka za kujiandikisha ,hasara ndio hii.
Hii ni kweli. Utashangaa mwenyewe riport zitakazotoewa na hawa wanaoitwa waangalizi wa uchaguzi. Watanzania tatajikomboa wenyewe na hakuna mtu kutoka nje ya Tanzania atakuja kutukomboa.
Kwani hao BBC ndo watapiga kura?Wametangaza katika taarifa Yao ya habari saa 12 asubuhi. Wanadai sababu za ushindi wake ni mafanokio yake katika kukuza uchumi.
Hii inaashiria nchi zinazotunyonya kupitia kinachodaiwa uwekezaji sasa wanahofia Slaa akiingia madarakani itakuwa mwisho wao kuendelea kutunyonya.
Toa uthibitisho wako hapa kwamba wengu tunaohudhuria mikutano ya dr, slaa hatujajiandikisha.Inajulikana wazi kama Kikwete anashinda ,Je unajua kuwa wengi wa wanaohudhuria mikutano ya upinzani hawakujiandikishaa ? Hii ni hasara na ni kosa kwa vyama vya upinzani kutoweza kuwashawishi wananchi katika hekaheka za kujiandikisha ,hasara ndio hii.
Inajulikana wazi kama Kikwete anashinda ,Je unajua kuwa wengi wa wanaohudhuria mikutano ya upinzani hawakujiandikishaa ? Hii ni hasara na ni kosa kwa vyama vya upinzani kutoweza kuwashawishi wananchi katika hekaheka za kujiandikisha ,hasara ndio hii.[/QUOTE
Hebu toa ushahidi wako hapa kuwa wanaohudhuria mikutano ya ccm wote wamejiandikisha...
With all due respect Mwiba, umejuaje kuwa wengi anaohudhuria mikutano ya upinzania hawakujiandikisha kupiga kura? Je na hao wanaohudhuria mikutano ya ccm ni wengi pia waliojiandikisha?Inajulikana wazi kama Kikwete anashinda ,Je unajua kuwa wengi wa wanaohudhuria mikutano ya upinzani hawakujiandikishaa ? Hii ni hasara na ni kosa kwa vyama vya upinzani kutoweza kuwashawishi wananchi katika hekaheka za kujiandikisha ,hasara ndio hii.
Umesema kweli. Mojawapo ya fani zangu ni international politics analysit. Ili kufanikisha hivyo inanibidi niangalie habari za TV stations nyingi zinazozungumza lugha ninazozielewa. Katika experience yangu ya karibu miaka 20 sasa nimekuja kujua kuwa kila station ina bias yake, na BBC ina bias kubwa, ili kulinda maslahi yake ya ukoloni mamboleo.BBC is one of the international instrument for UKOLONI MAMBO LEO. It will support everything that has maslahi to UK! Kama maamuzi yangu ni JK, au Slaa, hawawezi kunibadilisha. Target yao ni kwa babu yangu ambaye naye ameshafanya maamuzi yake mudamrefu.
Umesema Ukweli mtupu. Kilio na mshangao ni kesho!!
Yaani maneno matatu ya kiingereza makosa kibao (to congratulations or to congratulate?). Matatizo ya shule za kata!
May I be the first to Congratulations Kikwete kwa kushinda kwa kishindo:nono::doh:
Yaani maneno matatu ya kiingereza makosa kibao (to congratulations or to congratulate?). Matatizo ya shule za kata!