BBI, Handshake breakdown Ruto and Uhuru relations

Kwa maoni yangu huyo Ruto anaonekana ni mtu smart sana kichwani, kwa maana hii yote ni kujaribu kumzuia asiwe Raisi, ni nguvu kubwa sana inatumika mpaka kutaka kubadilisha Katiba sababu yake?

Ruto ni PHD holder ..
 
mhh hiyo historia ipo kweli ? ..kama wangeungana ni na hakika mbeleni tungetengana tu ....
 
Nenda YouTube ukamsikize nyerere,ingekua vigumu kutengana maana ule muungano ambao nyerere alikua anautaka sio Kama huu wa Tanzania bara na Zanzibar, ule ungekua imara kabisa chini ya rais mmoja na hata haingeitwa muungano,huu muungano wa Tanzania bara na Zanzibar ulitokea baada ya kenya kukataa ndio nyerere akaona sio vyema Tanganyika iimeze Zanzibar ndio akawapa Uhuru kiasi.
mhh hiyo historia ipo kweli ? ..kama wangeungana ni na hakika mbeleni tungetengana tu ....

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Kwa maoni yangu huyo Ruto anaonekana ni mtu smart sana kichwani, kwa maana hii yote ni kujaribu kumzuia asiwe Raisi, ni nguvu kubwa sana inatumika mpaka kutaka kubadilisha Katiba sababu yake?
Kifungu gani cha BBI kina mzuia ruto asiwe rais?
watanzania bana, siasa zetu zinahitaji watu wanaojielewa kuzielewa...
 
Tanga tanga sai wanai support BBI bro...
Wanapinga isiende mashinani kw sababu refferendum itachukua gharama kubwa..

Jana niliwatch news, wao wamesema BBI ipelekwe bungeni na ipitushwe haraka haraka...
Hvo ndo nimewanukuu jana
 
Wacha kumtetea ruto wewe....
Wote ni wezi...

Uhuru hafai
Ruto hafai
Raila ndio kadhalika

Nitapigia kura kitu fresh mara hii, hzo familia nazifyekelea mbali
 
Msijifanye nynyi ni wema...
Tanzania pia si mmegawanyika kw misingi ya vyama...

Utakuta region flani ni ccm tu, kw mfano chadema utawapata northern tanzania
 
Msijifanye nynyi ni wema...
Tanzania pia si mmegawanyika kw misingi ya vyama...

Utakuta region flani ni ccm tu, kw mfano chadema utawapata northern tanzania
Achana na ujinga wa watu wachache huku social networks,
Kuja huku mitaani unioneshe hao watu waliogawanyika kama nyie mlivyogawanyika Kutokana na ukabila.
 
Achana na ujinga wa watu wachache huku social networks,
Kuja huku mitaani unioneshe hao watu waliogawanyika kama nyie mlivyogawanyika Kutokana na ukabila.
Njoo na wewe mtaani unionyeshe hao watu waliogawanyika kutokana na misingi ya kikabila nikulipe
 
Njoo na wewe mtaani unionyeshe hao watu waliogawanyika kutokana na misingi ya kikabila nikulipe
Ubongo ni muhimu sana 😬😬😬 i wish ungekuwa nao angalau hata mmoja tu ila ndio hivyo tena.
 
Msijifanye nynyi ni wema...
Tanzania pia si mmegawanyika kw misingi ya vyama...

Utakuta region flani ni ccm tu, kw mfano chadema utawapata northern tanzania
Baada ya uchaguzi wa 2015
1)Arusha
CCM wabunge 7, Chadema 4
Kilimanjaro, CCM 3, Chadema 6

Onyesha regional gani yenye wapinzani wengi?
 
Baada ya uchaguzi wa 2015
1)Arusha
CCM wabunge 7, Chadema 4
Kilimanjaro, CCM 3, Chadema 6

Onyesha regional gani yenye wapinzani wengi?
Wacha kujitia ujinga hapa, chadema wako na region yao...
Unataka kutuaminishia ujinga sisi hku, narudia tena, northern tanzania ndiko utawakuta wafuasi wengi wa chadema..
 
Wacha kumtetea ruto wewe....
Wote ni wezi...

Uhuru hafai
Ruto hafai
Raila ndio kadhalika

Nitapigia kura kitu fresh mara hii, hzo familia nazifyekelea mbali
Me too ,kama hakuna fresh blood kama Bobbi Wine sipigi kura,
Hawa wote wa sahii ni manuguu tu
 
Me too ,kama hakuna fresh blood kama Bobbi Wine sipigi kura,
Hawa wote wa sahii ni manuguu tu
Mi nashngaa bado kuna watu wanamfagilia rutto...kw lipi haswa, km ni uhuru na raila kwishnehi...BBI imewapiga chenga, labda mmoja apiganie urais na mwengine ajishushe hadhi apiganie ubunge ndipo aone km atakua waziri mkuu hewa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa nini unamention Odingas family pekee.
Hivi wakikuyu wamewapa nini nyie, au unafikiri at kwa kuwa unatokea Eldoret ile SGR to no where itasogezwa mbele ifikie Eld????

Wakenya ukabila utawaatafuna na hamtabaki salama mpaka wote Mconfess
 
Njoo na wewe mtaani unionyeshe hao watu waliogawanyika kutokana na misingi ya kikabila nikulipe
Jamaa yangu kamata Matatuz hapo kama hutakuta Makanga wanaitisha kilugha mida hii
 
Mjiandae JOMO junior anatengenezwanl kurithi kiti miaka ijayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…