Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kenya ni kama burundi tu tofauti ni majina tu😁😁
Wakati anacheki za east africaMbona unaangalia news za Kenya? Kwani Tanzania hakuna news?
Mbona sisi huku hatushughuliki na yanayotendeka kwenu?Wakati anacheki za east africa
Nyie ni wabinafsi!Mbona sisi huku hatushughuliki na yanayotendeka kwenu?
Mimi ata News sionangi.....BBI imefika wapi..nipe taarifa🤔🤔🤔Helow KENYA, hivi huu mchakato wenu wa bbi utaisha lini?? Nini kinafanya msikubaliane mapema?
Mmenichosha kila siku kusikiliza habari zenu za bbi,mnamchosha dankan maiche bure. Tafteni suluhu mapema, kama nchi imewashinda jiungeni kama zanzibar!!
Kenya bhanaaa
kenya ndio maaa mnaitwa KINYA😁😁Shugulika na news za taifa lako na uache kiherehere.
Tanzanians ni kupenda wanapenda kenya news ama ni nini? kufuata fuata Kenya news inawasaidia na nini?. Kwa sasa media's na mabloggers wa taifa lenyewe wamekaliwa hadi hakuna kitu chenye wanaweza kuchapisha kuhusu serikali ya makufuri
Mimi mwenyewe sijui imefikia wapi. Nilifatilia mzozo wote wa Azabaijan na Armenia kule Nagorno-Karabahk na wa Tigray-ET pia. Hadi na maandamano ya Belarus na sasa hivi naona Bangladesh wanawahamisha wakimbizi wa kirohingya hadi kwenye kisiwa flani hivi matata. Hayo yote kisa nilichoshwa zamani na kelele zao za BBI. Nangoja ifike kwenye referendum nikapige kura yangu ya NO.Mimi ata News sionangi.....BBI imefika wapi..nipe taarifa
Waaaah ...too bad. Personally I don't support the shiet. I feel we are over represented. Actually I believe in winner takes all....kesi baadaye!!!ufike wapi wakati kila siku kona kona tu hamna cha maana yani😠
you know what,Kenyan you have to change your mind now, its time to wake up. Don't sleep, its time to talk to ur gvmtWaaaah ...too bad. Personally I don't support the shiet. I feel we are over represented. Actually I believe in winner takes all....kesi baadaye!!!