Magema Jr
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 1,299
- 1,197
- Thread starter
- #21
hahahah why no mkuu wakati nasikia bbi inaumuhimu na faida kwa wa Kenya, ni kweli??Mimi mwenyewe sijui imefikia wapi. Nilifatilia mzozo wote wa Azabaijan na Armenia kule Nagorno-Karabahk na wa Tigray-ET pia. Hadi na maandamano ya Belarus na sasa hivi naona Bangladesh wanawahamisha wakimbizi wa kirohingya hadi kwenye kisiwa flani hivi matata. Hayo yote kisa nilichoshwa zamani na kelele zao za BBI. Nangoja ifike kwenye referendum nikapige kura yangu ya NO.