BBI process declared unconstitutional by high court

Even with the addition sh50b, bado haijapita 15%. Budget ilikua 2.7trillion.
 
BBI has followed the law.

And the constitution can be changed any time its not like its cast on stone like the 10 commandments.
Kuna procedures za ku change constitution, ata iwe any time or day or even night, haijalishi, Kuna laid down procedures, ukizifuata ndio basi, hakuna wakuzuiya.
 
Unajua point yako about revenue allocation to the counties ni nzuri. Nobody is arguing with what you are saying. We all want more allocations to the counties. Lakini shida yako ni ati hujali the process yenye inatumika. Even if an illegal process is being used to amend the constitution wewe hujali ati bora umepata chenye unataka. We can't operate like that bwana. Sasa if the process doesn't matter what if tupate president mjinga kama Moi mwenye anataka kurudisha dictatorship Kenya, tuseme anataka kuban all political parties na kubakisha party moja tu, unajua if we set a bad precedent now kwamba procedure does not matter basi that rogue president will have an easy time changing the constitution and basically banning all political parties and even denying us our fundamental rights. Utasikia amerudisha mambo ya detention without trial ama ameabolish freedom of speech. Wakati wa Moi hungeongea mbaya kuhusu Moi coz there was no freedom of speech. Saa hii we take some of these freedoms for granted but kuna Wakenya walikufa ndio sisi tupate nafasi ya kucriticise president. Saa hizi unaweza hata kutukana Uhuru na hakuna kitu itakufanyikia but zamani ungepotezwa. So we all want more revenues to be allocated to the counties but the correct procedure must be followed.
 
Even with the addition sh50b, bado haijapita 15%. Budget ilikua 2.7trillion.
Uhuru mwenyewe kasema 34%





And BTW hii 15% minimum sio kutoka kwa bajeti, 15% ni kutoka kwa kodi ya nchi, yani National Revenue ambayo hua ni kama Ksh1.7 trillion, Kwahivyo fanya 34% ya tax collected by national govt, not total budget for the FY

 
Uhuru sio sheria. Sheria iko wazi
 
Exactly! Hata mi nilikua nataka kusema point kama hii !!!

Hata kwenye hio judgement kuna judge mmoja alielezea vile Moi alitumia mfumo huu huu wa 'taskforce ya kugeuza katiba" kutoa vipengee kadha vya katiba na kujipatia mamlaka yote. Akageuza tukawa one party state, akageuza na kumiliki mahakama, polisi..etc alafu kama watu wengine wakijaribu kugeuza katiba, kwavile yeye ndo ana control taskforce anatumia nguvu zake kupinga mapendekezo ambayo hataki.. Hii ndo maana majaji hao wamesema tulipogeuza katiba hii mpya, popular initiative imewekewa hususan kama procedure ya wananchi, sio eti rais akijiskia yeye ni 'popular' basi akiundie taskforce na kugeuza katiba vile atakavyo bila kuhusisha wananchi ipaswavyo.

Je kama Uhuru angetaka kuondoa presidential term limits na kujipa mamlaka forever?
 
I agree with you 100%
 
Any Kenyan can initiate a popular initiative
Hebu leta kipengele gani ya katiba imesema hivyo? We are not looking for your opinion. We are looking for facts. Leta which article of the constitution imesema hivyo.
 
Any Kenyan can initiate a popular initiative
And once he initiates the so called popular initiative, he cannot control the process, watu ndo watatunga hizo sheria mpya, watu ndo watajadili hizo sheria mpya. Maoni ya watu ndo yatapewa kipaumbele ... Hayo maoni ya watu yakikua compiled, yatachapishwa kwa lugha tofauti ili kila mkenya aelewe, baada ya hapo kutakua na hamasisho kubwa kufanya mafunzo 'civic education' kwa wananchi ili waelewe maswala ya katiba na umuhimu wao kama wananchi, watu watapewa mda kusoma kisha tutarudi tena kwa vikao kujadiliana hayo yaliochapishwa kama ni sawa au kuna lipi la kuongezwa au kutolewa.
Baada ya hapo ndo wanao support kugeuzwa katiba wataruhusiwa ku sign kama kwamba wanataka katiba igeuzwe.


Alichokosea Uhuru ni:

1. Yes, mtu yeyote anaweza ku initiate popular initiative, lakini serekali haiwezi ku initiate popular initiative. Uhuru ni mwananchi kweli, Lakini Uhuru pia ni Serekali. Ni sawa na uniambie sheria inasema mkenya yeyote anaweza kufanya biashara na serekali, kwahivyo Uhuru Kenyatta kama mwananchi mwengine anaweza akachukua exclusive tender ya ku supply vigae vyote (tiles) vinavyohitajika kujenga nyumba za serekali, wakati huo huo yeye Uhuru Kenyatta kama rais ana mamlaka ya kuchagua waziri wa Ujenzi na PS wake ambao anaweza ku direct wampatie hio tender. Hio haiwezekani "you can't have your cake and it it too" .... Kwa kifupi majaji hao wamemwambia Kenyatta, You can either be the Master or the Servant, you cannot be both.

2. Hakuna mjadala wowote wa kikweli umefanywa kuhusu hivyo vipengee anavyotaka kugeuza, katiba ya 2010 iligeuzwa mara nyingi sana kabla kuwe na FInal Draft ambayo ilikubalika na wengi [Kama sijakosea nakumbuka kulikua na kipengee kwa draft ya 2010 ambacho ni kama kilikua kimehalalisha ushoga na kutoa mimba (abortion), baada ya majadiliano makali na wengi kukataa, kipengee hicho kikatolewa]. Hii BBI taskforce ilitunga sheria alafu tukaambiwa hio ndo FINAL! hakuna nafasi ya kugeuza au hata kujadili!na kama hutaki kajinyonge.

Naweza kuendelea lakini hakuna haja, la muhimu ni kwamba Uhuru hakukosea mahali padogo tu ambapo tunaweza kusema asamehewe, alikosea karibu kila mahali hata majaji walikua hawajui waanze na wapi wamalize na wapi!
 
Yani jamaa hana haya amejitokeza hadharani leo!

















Kaa ni mimi ningeshkwa na homa ya wiki mbili hivi πŸ˜›πŸ˜›
 
Kelele tu za majudge. Bado Parliament ilikua ikue dissolved etc etc.

Reggae to continue soon
 
Hebu leta kipengele gani ya katiba imesema hivyo? We are not looking for your opinion. We are looking for facts. Leta which article of the constitution imesema hivyo.
Nmechoka. Rudia comments zangu.
 
Kelele tu za majudge. Bado Parliament ilikua ikue dissolved etc etc.

Reggae to continue soon
Mimi nimesema hapo jamaa wanapigia mbuzi guitar..yani mpka bunge linapitisha huo mswada hao majaji walikua wapi, kwhyo wanamaanisha wale wanasheria wote pale senate na kule bungeni kwan walikua hawalijui hilo...
Siasa za kenya bana[emoji23][emoji23]
 
Yani jamaa hana haya amejitokeza hadharani leo!

















Kaa ni mimi ningeshkwa na homa ya wiki mbili hivi πŸ˜›πŸ˜›
Mzee baba, hii ni afrika rais huaga hayumbushwi na vi ishu vya peni mbili mbili km hvo..sema tu kuna baadhi ya nchi kidogo hapa afrika wanajielewa..
Lkn acha nikwambie kitu, wacha afrika hata kenya akiingia dikteta basi mwendo utakua wa kidikteta, watu wanajali maslahi yao bana
 
Kazi ya wabunge pale bungeni ni nini, unajua kwann waliitwa wawakilishi..yale mafuta wanayojaziwa full tank kw ajili ya kutembelea maeneo yao bunge waliyatumiajw..hii nchi sio ya walevi basi eti kila mtu anajiropokea tu, unajua hata matahira nao wamo katika kundi la wachache..

We km mbunge wako hakuwahamasisha watu wake alafu mwisho wa siku akapitisha basi kamlaumu..
Alafu nilichogundua BBI inaendeshwa kw misingi ya kijamii sana wala sio kw ajili ya maslahi ya nchi yetu pendwa
 
BBI is a very good document for Kenyatta's Robot voters and Raila's Cows. BBI clearly defines the likes of you as slaves so that you don't have misplaced ideas that you are citizens in country owned by Mzungus and 3 Big families.
BBI lazima itapita mpende msipende, loans will not repay themselves.. slaves will pay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…