Be A Gentleman! At least Dress like one

UrbanGentleman

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2016
Posts
2,584
Reaction score
1,885
Swala la kuchagua what type of outfit katika matukio flani, flani kwa vijana imekua shida sana kwa hasa ukizingatia tumetoka kwenye local family zisizojali sana haya mambo.

Hapa nitalenga zaidi kwenye mavazi, Niseme tu Gentleman anaandaliwa hatokei from nowhere na how gentleman dress haiitaji nguvu kujua he's the one, so leo nitawagusia kuhusu huyu Gentleman katika casual style,formal style na hair style.

Ni vyema kumsaidia mtoto kujua tofauti ya casual outfit na formal outfit pia kumfanya atambue gentleman's wear mapema ili itembee kwenye bloodlines mambo haya yasiwe mageni kwake. Mfano mimi nilifundishwa na mambo mengi na marehemu mzee wangu alikua akisema "to look a gentleman its not for CEO's or wealthiest people be a gentleman from within" huku akinifunga tai vizuri kabisa na kunielekeza namna ya kufunga tai.

Mtoto anaona baba anaonekanaje mtoto anaishi maisha aliondaliwa na wazazi

In casual wear uwa tunamionekano yetu hatukurupuki tuu business casual wear and street casual wear

Sio hapo formal wear kwa gentleman ni muhimu sana as inaweka credible ya kujitambua na kujielewa zaidi katika jamii kujimini inakua 100%


Gentleman hair cut huwa ni low cut mara nyingi sio kiduku.

Sasa tambua kua gentleman huandaliwa talkin of looks.
 
Hivi wakaka hicho kifungo cha chini cha coat kwa nini huwa hakifungwi?

View attachment 496589
Mara nyingi ni kuonesha mkanda au kuepusha koti kukaa vibaya wanapokaa chini au kuepusha usumbufu wa kufungua na kufunga wanapokaa na kusimama au wakiwa wanadrive au ata kuka kwenye viti vya kawaida
 
I don't bother. Looks meam nothing to my personal & professional well being.
 
Mara nyingi ni kuonesha mkanda au kuepusha koti kukaa vibaya wanapokaa chini au kuepusha usumbufu wa kufungua na kufunga wanapokaa na kusimama au wakiwa wanadrive au ata kuka kwenye viti vya kawaida


I see, nilikuwa najiuliza kama kipo hapo kwa nini hamkifungi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…