Be A Gentleman! At least Dress like one

Be A Gentleman! At least Dress like one

Kuja kuweka picha zangu huku JF ndo nini???[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Yes, namshukuru bimkubwa kanifundisha sana kutupia

Simple but classic
Mimi napenda kuvaa nguo simple ila safi. Dressing kama hizo picha hapo juu naona wamepania sana na nitahisi watu wote wananiangalia mimi.
 
Mimi napenda kuvaa nguo simple ila safi. Dressing kama hizo picha hapo juu naona wamepania sana na nitahisi watu wote wananiangalia mimi.
Class with sassy is what define a gentleman, usaf ni kipaumbele namba moja uwe na pesa usiwe na pesa
 
Perfect....nimekuachia mtaa wa sita for good.
Aisee umenifurahisha jambo moja tu unalijua... Ila niseme sikupenda ushinde ila hongera... Na kuhusu mtaa wa sita kwangu nachukulia kama new negative compliment sababu i really need a positive change as i can tell
 
Umaridadi kitu muhimu sana katika maisha. Ukiangalia kwa ukaribu watu maridadi ....hata akili Yao imetulia. Wanaaminika kwa haraka. In fact ukiwa msafi hata roho yako most likely itakuwa safi.

Watanzania wengi tuna equate uchafu na umasikini! Yet hata Kama ni masikini WA kipato si lazima Uwe mchafu.
 
Back
Top Bottom