MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Wasalaam wana JF
Miaka 50 baada ya uhuru bado nchi yetu ina struggle, mipango ya maendeleo na utekelezaji wake ni reflection ya pwagu na pwaguzi.
Nafasi zote za kazi zina matakwa ya kielimu, ujuzi na uzoefu isipokua siasa yaani uwakilishi wa wananchi bungeni, ujue kusoma na kuandika tu.
Wanasiasa hao wasio na elimu ndiyo viongozi wetu, wanaopitisha sheria kandamizi na mipango onevu yenye kutesa wananchi.
Mimi na wewe ni wahanga na mashaidi, tumekaa kimya, hatuhoji, hatufanyi kitu, hatushiriki kwenye siasa, je historia itatuhukumu kwa style gani.?
Uzalendo siyo kuvaa manguo yenye rangi rangi za vyama vya siasa, wala si kuitetea serikali, bali maslahi mapana ya nchi kwa kushiriiki kwenye siasa na kuwa sehemu ya waamuzi.
Serikali itapita ila nchi itabaki. Je wewe uko active? umekua activated au ume activate wenzako?
MAKINIKA CHUKUA HATUA, SHIRIKI KWENYE SIASA ULETE MEANINGFUL CONTRIBUTION KWENYE SAFARI YA MAENDELEO YA NCHI YAKO.
BE INSPIRED