Be aware!

Be aware!

Mama Brian

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2010
Posts
320
Reaction score
21
Jamani wadau wa JF nimepata visitor message kwa profile yangu huyo mtu anadai anaitwa Monica akaniambia amefurahi sana kuiona profile yangu na akasema tuwasiliane zaidi anataka tuwe marafiki akaniwekea na email adress yake nami bila ajizi nikaicopy na kumtumia mail. Asalale! majibu yaliyorudi si mengine bali ni ya zilezile mail ambazo hutumwa na matapeli anadai yeye ni mliberia kwa sasa yuko ktk makazi ya wakimbiszi senegal yeye ni yatima na anahitaji msaada alikuwa ameniaatchia na pics zake but i dint dare to open them na uzuri mail yenyewe iliingia kwa spam box, so be careful!
 
Aksante kwa warning na pole, japo ishaletwa hapa mara mingi sana!!
 
Back
Top Bottom