(Be forward) Bei hizi za magari mitandaoni zipo sahihi kweli?

Ok sawa sijui kitu Ila naomba unitajie kampuni yenye Magari Bora ili na wengine tujue
Nimeagiza Gari tc-v & SBT 1. Usalama wa pesa yako (ukituma pesa Japan, mwenye halipwi mpaka gari iwe shipped) 2. Bei zao nafuu 3. Gari in mint condition
 
Nitakucheki mkuu
 
Nimeagiza Gari tc-v & SBT 1. Usalama wa pesa yako (ukituma pesa Japan, mwenye halipwi mpaka gari iwe shipped) 2. Bei zao nafuu
Duuuu!!
Tradecarview bei zao ni nafuu kuliko be forward? Sidhani kama upo sahihi Sana Ila Kwa SBT Japan hawa wako vizuri Kwenye price
 
Nitakucheki mkuu
 
Nilicheki Supra izi old model, mashine 2jzge tu haina mbwembwe, kweli hata uko Beforward ilikuwa ghali, ushuru nikaona inacheza milioni 28.
Nikacheki New model yake, ushuru ni milioni 80 kama sijakosea.

Kuna haja kweli ushuru wa hizi magari uangaliwe upya 😀
 
Duuuu!!
Tradecarview bei zao ni nafuu kuliko be forward? Sidhani kama upo sahihi Sana Ila Kwa SBT Japan hawa wako vizuri Kwenye price
Sema hii mitandao gari ndio izo izo tu naona.

Beforward nimeikuta chaser moja inauzwa bei tofauti.

NB: Usishtushwe na sura ya verossa, hio nichaser modified tu.
 
Kuna kutapeliwa, pia ukionacho kwa picha mtandaoni unaweza letewa kitu tofauti kabisa, tofaut na showroom unajirisha kabisa.
 
Kuna kutapeliwa, pia ukionacho kwa picha mtandaoni unaweza letewa kitu tofauti kabisa, tofaut na showroom unajirisha kabisa.

Umeshawahi kuletewa hicho kitu tofauti na ulichoagiza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…