Habarini Wanajamvi.
Naombeni ushauri wenu kwa wale walioisha watumia be forward Tanzania kama clearing agent wao wa magari vipi huduma zao zikoje maana kunawanao wasifia na wengine wanawaponda.Tafadhali kama wewe ni mfanyakazi wao naomba usicomment ili nipate mawazo huru.
naomba mawazo yenu yajikite kwenye
1.Gharama
2.Kama ni wasumbufu au laa
3.Ushirikiano na mteja
4.Kama wanafanya delay zisizo na msingi au laa
5.etc