Be Forward Tanzania as a Clearing Agent

Be Forward Tanzania as a Clearing Agent

Tricker

Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
95
Reaction score
25
Habarini Wanajamvi.

Naombeni ushauri wenu kwa wale walioisha watumia be forward Tanzania kama clearing agent wao wa magari vipi huduma zao zikoje maana kunawanao wasifia na wengine wanawaponda.Tafadhali kama wewe ni mfanyakazi wao naomba usicomment ili nipate mawazo huru.
naomba mawazo yenu yajikite kwenye
1.Gharama
2.Kama ni wasumbufu au laa
3.Ushirikiano na mteja
4.Kama wanafanya delay zisizo na msingi au laa
5.etc
 
Mm ni dereva uwanapata wateja wengi sana na nawapereka be forward kinacho niuzi uwa awatujari watu tunao wapelekea wateja kingine ghalama zao zipo juu sana colora maajenti wote wanafanya usd 250 lakini wao wanafanya 280 wateja wanatukimbia wajitaidi kuboresha mambo yawekama wenzao,
 
Wiki iliyopita nimetoa gari yangu kupitia wao, wako vzr sana, kwanza tra nlilipia kabla hata gari haijafika, na gari nilichukulia ofsn kwao, walilipa gaqgama za bandarin na shipping line gari ikatoka ndo nkawarudishia pesa zao nkachukua na gari
 
Asante mkuu ntafanyia kazi
 
Wiki iliyopita nimetoa gari yangu kupitia wao, wako vzr sana, kwanza tra nlilipia kabla hata gari haijafika, na gari nilichukulia ofsn kwao, walilipa gaqgama za bandarin na shipping line gari ikatoka ndo nkawarudishia pesa zao nkachukua na gari

Thanks.Ndo first positive news nimepata abt hao jamaa
 
Wako very professional...nimeshafanya nao kazi mara 2 na sija-experience matatizo. Inawezekana gharama ziko juu kidogo; lkn ukilinganisha na usumbufu unaoweza kuupata kwa agent asiye makini, it's worth a sacrifice
 
Apart fro being expensive BEFORWARD Agents ni wasumbufu mno, utapata delays zisizokua na msingi so jiandae kulipa delay charges. Wako wafanyakazi wengi pale but everyone is busy for nothing, hao wanao wasifia watakua ni wafanyakazi wao hapo tu kama una hela ya ziada watumie alafu utakuja hapa kutupa feedback. Trust me I have no personal grudges against them lakini iliniuma sana kulipa delay charges walizozisababisha wenyewe. Lbda kama wamebadilika ndani ya mwezi mmoja
 
Back
Top Bottom