Mm ni dereva uwanapata wateja wengi sana na nawapereka be forward kinacho niuzi uwa awatujari watu tunao wapelekea wateja kingine ghalama zao zipo juu sana colora maajenti wote wanafanya usd 250 lakini wao wanafanya 280 wateja wanatukimbia wajitaidi kuboresha mambo yawekama wenzao,
Wiki iliyopita nimetoa gari yangu kupitia wao, wako vzr sana, kwanza tra nlilipia kabla hata gari haijafika, na gari nilichukulia ofsn kwao, walilipa gaqgama za bandarin na shipping line gari ikatoka ndo nkawarudishia pesa zao nkachukua na gari