Be in Kigoma before the train leaves in DSM

Be in Kigoma before the train leaves in DSM

Njowepo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
9,710
Reaction score
2,240
On a serious note aka katangazo wamefluku kwa namna fulani.
Ivi ni kweli unazifananisha ndege za PW na treni ya Kigoma TRL ivi apo unajikweza au unajishusha?
Enyi watu wa matangazo watendeeni haki wateja wenu kwa kuwatengenezea matangazo yenye kuleta maana sio kejeri na maudhi.
Tena ata ukifananisha akweaye treni na akweaye ndege ni watu wa hadhi mbili tofauti I mean hizi treni za Tanzania.
A bit puzzled kwa nini waliamua kutumia ayo maneno ingawa Tz tumeshayazoea maana lipo linalosema ......the spirit of the nation.........................
 
Dogo hiyo inaitwa
Hummiliation advertisement
Una adverstise huku unamu attack your competitor kwa kumtusi

Na hio inatumika sana iwapo wote mko kwenye the same business ila type tofauti...

Ni kawaida sana kwa nchi za wenzetu bongo ndio inaanza kuiingia ingia tuwe wavumilivu tutaizoea tu

Slogan ziko kibao

Kuna nyingine niliwahi kuiona inasema stop eating fast food eat natural food
 
hebu wekeni details vizuri, tangazo lipi la nini, lipo wapi etc nimebaki sielewi
 
mtoa mada,matangazo yana nia pia ya kuonyesha utofauti wako na washindani wako!sasa kama mshindani aliyepo katika usafiri wa kigoma ni treni ulitaka tangazo liweje?
 
Back
Top Bottom