Nawapenda kweliWakuu salama kuna hawa jamaa wanajulikana Kama be like bro kwa kweli ni kili niwapo na mawazo basi husogea kutazama post zao na huwa zinafurahisha ntajitahdi kuweka picha ili tuburudike wote wana Jf na Cartoonist huyu mtembelee Facebook kwa kusearch page ya be like bro zipo nyingi ila like ile yenye likes 7+m
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha
Dah hii imenikumbusha mbali [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Ahahahaha dah nimekumbuka Mwalimu wetu mmoja wa hesabu alikua haachi kipindi, siku moja matokeo ya Mock yakaja vibaya sana kwenye hesabu, basi watu walipoulizwa sababu wakasema mwalimu anaingia sana darasani apunguze.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
hahahahahahaha watakuwa walichorwa picha
Hahaaaaa
WATU WA ARTS NA BIASHARA HATUPENDAGI UJINGA
Instagram wanatumia jina gani??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hawa jamaa kila siku ni lazma nipitie pages zao insta na fb..nabaki nacheka na simu
ahahaaaaa kibamia
Haaaaaahh haaahhh..! Watoto wa 90's ilikuwa fun sana aisee
Kumbe ndo maana yake hiyo[emoji47] [emoji15]ahahaaaaa kibamia