Be the first to joseverest

Be the first to joseverest

Subiri aje atakuelewesha
Kwa kifupi huyo ni Verified user wa JF.
Nashangaa japo wewe umejiunga kabla ya yeye lakini kapata cheo kikubwa hapa jamvini kabla yako.

Kutangulia sio kufika
Hakuna uhusiano wowote kati ya muda uliojiunga na Jf na kuwa verified.
Unaweza kujiunga leo na ukawa verified....
 
MaleBirthday:January 1 Home Page:http://www.jamiiforums.com/members/joseverest.173455/Location:BongonyooOccupation:Tha EntrepreneurInteractContent:Find all content by Joseverest
Find all threads by Joseverest
Conversation:Start a ConversationSignatureWhen people cut you down or talk behind your back, remember, they took time out of their pathetic lives to think about you. Life is too short to waste your time with people who waste their own time.
Be who you are and say what you feel. Can't please everybody.
 
Be Joseverest to comment or reply mkuu. Hiyo Joseverest = First. So instead of saying Be the first to reply or comment just say Be the Joseverest to comment or reply. Mfano:
Coca zero = Coca Bashite.
Be the first to comment = Be the Joseverest to comment.

Hii ni kuthamini uwepo wa Joseverest kwenye nafasi namba moja kila uzi na pia kwenye kila mada. On top of that the guy he is cool wala hana hasira wala dharau. So #Be the Joseverest to comment#
 
Thanks mkuu nimekuelewa na sasa ngoja nikafanye utafiti
 
Back
Top Bottom