Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uchokozi wewe mnyambo!Wasalaam wana jamvi.
Hakika hili neno la be the first to joseverest, nimekuwa nikukutana nalo na nashindwa kulielewa kwakweli na huwa nakutana naolo.
Bado najiuliza huyu Joseverest ni nani na nini maana yake?
Hakuna uhusiano wowote kati ya muda uliojiunga na Jf na kuwa verified.Subiri aje atakuelewesha
Kwa kifupi huyo ni Verified user wa JF.
Nashangaa japo wewe umejiunga kabla ya yeye lakini kapata cheo kikubwa hapa jamvini kabla yako.
Kutangulia sio kufika
Subiri akija atakujibuHakuna uhusiano wowote kati ya muda uliojiunga na Jf na kuwa verified.
Unaweza kujiunga leo na ukawa verified....
Bando limechacha.Joseverist unahitajika huku
Thanks mkuu nimekuelewa na sasa ngoja nikafanye utafitiBe Joseverest to comment or reply mkuu. Hiyo Joseverest = First. So instead of saying Be the first to reply or comment just say Be the Joseverest to comment or reply. Mfano:
Coca zero = Coca Bashite.
Be the first to comment = Be the Joseverest to comment.
Hii ni kuthamini uwepo wa Joseverest kwenye nafasi namba moja kila uzi na pia kwenye kila mada. On top of that the guy he is cool wala hana hasira wala dharau. So #Be the Joseverest to comment#
Tapeli...?