Hahahaha huwa anaitwaje?yan mkimuita hivi haji ng'o 😀
Uko sahihi, jamaa ni mstaarabu sana. Sijawahi ona ametumia lugha kali anapo jibu kitu. Hana lugha za kuudhi kabisa. Inaelekea ni mpole Sana. Namkubali sana.Joseverest uko wapi rafiki yangu nakukubali sana aisee njoo huku ila kwa ufupi Ruttashobolwa huyu mtu wa kuitwa Joseverest ni mtu mtulivu hata akitukanwa anajibu kwa hekima na ni mtulivu na mstaarabu
Avatar yake ni nzuri kwa muonekano wake na mengine mengi
Hapa umesema ukweli.Halafu jamaa anavyopenda sifa anatucheki tu halafu yeye hata hakomenti chochote.
Joseverest bwana.
Kweli mkuu namkubali sana na yeye anajuaUko sahihi, jamaa ni mstaarabu sana. Sijawahi ona ametumia lugha kali anapo jibu kitu. Hana lugha za kuudhi kabisa. Inaelekea ni mpole Sana. Namkubali sana.
Mmmm..kweli..[emoji5]
First to reply
Joseverest
Yupo anawachora tuuNashangaa mpaka sasa kwenye huu uzi hajajitokeza